Rorexxie feat. 20 Percent - Mali za Urithi Lyrics

Lyrics Mali za Urithi - Rorexxie



One love (Pasuka Pamoja Records)
20!
Bonseee
Picha linaanza, baba kapata kiwanja
Ukaenda kwa waganga ili ashindwe kujenga
Picha kuanza, baba kapata kiwanja
Ukaenda kwa waganga ili ashindwe kujenga
Hilo mungu akapinga, akapinga
Akamjalia kujenga, tukasau kupanga
Kumbe wewe ulipinda, ulipinda
Ukawa unamuinda, ukamuinda
Alipo kuwa mgonjwa haukuja kumuona
Alipokufa wa kwanza ama ulikuja kutafuna
Mali za urithi zisifanye utuhue
Mali zetu sisi vipi zikufae wewe!
(Ulilia lia) ulilia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia, uliona haya)
Ulilia, (ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya)
Siku ya msiba asiekujua, alikujua
Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia
Siku ya msiba asiekujua, alikujua
Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia
Kaka yangu miye kwanini atangulie?
Bora ningekufa mie, eti ulilia
"Kaka yangu miye kwanini atangulie?
Bora ningekufa mie,"
Naona kaniachia watoto wadogo
Kama sio yule waenzi zile, hunieza zogo
Kaniachia watoto wadogo
Yani hufanani na yule aliegeukaga mbogoo
(Ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia, uliona haya) uliona haya
(ulilia lia) ulilia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya)
Ilipita mwezi mmoja baada ya msiba
Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba
Yani mwezi mmoja baada ya msiba
Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba
Mara ulisimama katikati ya umati ukiwa na karatasi
Eti ukasema, ni hati na nyumba haituhusu sisi
Hile nyumba ya urithi, leo si yetu sisi
Kama ni nyumba ya urithi, haaya
(Ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia, uliona haya) uliona haya we
(ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya)
Waunguze
Bonseee
Tambwikochanda mbabela
Tambwikochanda mbabela
Tambwikochanda mbabela
(bandemo)
Tambwikochanda mbabela
Tambwikochanda mbabela
Tambwikochanda mbabela
(bandomo)
(Ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya) uliona haya we
(ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia) furahia (uliona haya) haya



Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie feat. 20 Percent - Brokėn
Album Brokėn
date of release
26-10-2023




Attention! Feel free to leave feedback.