Rorexxie - Binti Kimanzi Lyrics

Lyrics Binti Kimanzi - Rorexxie



Oooh mtoto tulia (wewe)
Sisi tumemchagua (wewe)
Umetaka utamuoa (wewe)
Hukutaka utamuoa
Sawa nitamuoa yeye
Ila sinta dumu na yeye
Wazazi muelewe, mie ninae nimpandae
Mbele ya macho yenu (Uuh)
Niliugua mwanenu (Ouh)
Yeye akatoa damu (uyu)
Kwangu ni mtu muhimu huyo
Kwenye shida niko nae (yeye)
Kwenye raha niko na yeye (ye)
Yeye ndie nimpendae sitaraji mwingine we
Natoka Dar naenda Kimanzi (mchana)
Kuwa taarifu wazazi
Mimi n'nampenzi wangu mtu tesi (kimwana)
Ndoa yetu mwisho wa mwezi
Nilijuta kufika (kwao)
Nikajuta yalo nikuta (kwao)
Wangu wakamkataa (kwao)
Nakunionyesha picha ya wabo hao
Oooh mtoto tulia (wewe)
Sisi tumemchagua (wewe)
Umetaka utamuoa (wewe)
Hukutaka utamuoa
Sawa nitamuoa yeye
Ila sinta dumu na yeye
Wazazi muelewe, mie ninae nimpandae
Mi nakupenda mpenzi ila naogopa radhi (Oooh yee)
Tatizo lao wazazi (wewe)
Wamekimbilia radhi
Nivumilie mpenzi (wewe)
Ni waridhishe wazazi (Mimi)
Nitampa talaka mwenzi (wewe)
Arudi kwao kimanzi
Kulala silali nae (yeye)
Mimi chini juu yeye
Chochote si-shei nae
Nina mnyanyapaa yeye
Chakula chake nakataa
Asije nipa limbwata
Kwa wazazi swadakta
Ndani ya ndoa fujo kila kukicha ya deile
Oooh mtoto tulia (wewe)
Sisi tumemchagua (wewe)
Umetaka utamuoa (wewe)
Hukutaka utamuoa
Sawa nitamuoa yeye
Ila sinta dumu na yeye
Wazazi muelewe, mie ninae nimpandae
20 Percent from fam boys
True story
Yeah, Bushoke baiby
Oooh mtoto tulia (wewe)
Sisi tumemchagua (wewe)
Umetaka utamuoa (wewe)
Hukutaka utamuoa
Sawa nitamuoa yeye
Ila sinta dumu na yeye
Wazazi muelewe, mie ninae nimpandae



Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie - Brokėn
Album Brokėn
date of release
26-10-2023




Attention! Feel free to leave feedback.