Rorexxie feat. 20 Percent - Wajane Lyrics

Lyrics Wajane - Rorexxie



For all mama... who left behind from their husband
(Yebo), and for all fans
Niliunguza vidole! (Familia hii)
Ili nipike wali! (Familia hii)
Walinisifu upole! (Familia hii)
Kumbe ni uongo, umenizuga hile, (familia hii)
Wali wa juisi, na maji baridi-i
Wamerudi kunilipa joto oh
Ni matusi sikunifariji, mateso mimi na watoto ooh
Hakuna wifi tena! (Familia hii)
Wala hakuna shemela! (Familia hii)
Hawafiki tena! (Familia hii)
Eti sisi tutawaomba hela., (familia hii)
(Yatima, yatima, na wajane, na wajene!)
(Yatima, yatima, na wajane, na wajene!)
(Sauti ya yatima, na wajane)
(Ni sisi yatima, na wajane)
Uuuuh-Uuuh-Uuuuh, hiiii
God bless us
Hakuna wifi tena! (Familia hii)
Wala hakuna shemela! (Familia hii)
Hawafiki tena! (Familia hii)
Eti sisi tutawaomba hela., (familia hii)
Kwenye amani ulipo simama ah
Usigeuke nakututazama ah
Hata ifike sauti ya mama ah
Au ya wana kwamba tumekwama ah
Usitazame nyuma, usigeuke tena!
Hauyawezi tena, sisi tutapambana
(Yatima, na wajene!)
(Yatima, na wajene!)
(Sauti ya yatima, na wajane)
(yatima, na wajane)
Jicho la ukweli unaweza pata reality, kipo ninacho tamani
Kesi ya mwewe kwa bundi distanity cha moyo kiweke ndani
Yupi hatari, yupi ghali mbona inakataa
Hipetali ili mizari bado na chakaa
Mazuri yapo kwa kwambali na kata tamaa
Mabaya ya nifuata bila kujiandaa
Vita vimejaa, wamezima taa!
Pengine eti mi' nililetwa mtoto wa zinaa
Kwa mungu hufiki kwa mavazi, nimekataa!
Bora kuipata nafasi ya kujiandaa
Wapi mami *Oh, wapi rasta??
Wapi daddy Bro, wapi masta?
Wapi komandoo nije fasta?!
Bila bila si'la Sheikh wala Pasta
Usitazame nyuma, (familia hii)
Usigeuke tena! (Familia hii)
Hauyawezi tena, (familia hii)
Sisi tutapambana (famailia hiii)
(Yatima, na wajene!)
(Yatima, na wajene!)
(Sauti ya yatima, na wajane)
(yatima, na wajane)



Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie feat. 20 Percent - Brokėn
Album Brokėn
date of release
26-10-2023




Attention! Feel free to leave feedback.