Lyrics Mbele Yako Nyuma Yangu - Rorexxie
(Yeah)
(MJ
Records,
sio,
Afande
Sele
Asilimia
na
Babu
Tale)
(Usizime
baba
angalia!)
(Mbele
yako)
Mbele
yako
(Nyuma
yangu
uuh)
Nyuma
yangu
mie
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Usinichukie,
we
ndugu
yangu
Uuh
(Mbele
yako)
Mbele
yako
(Nyuma
yangu
uuh)
Nyuma
yangu
mie
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Usinichukie,
ndugu
yangu
Uuh
Yeah,
yeah
yeah,
yeah
Mbele
yako,
nyuma
yangu
twende
Kamanda
wangu
usiogope
tupo
na
Mungu
pekee
(mwenye
ulimwengu)
Yeyote
aliyeko
hai
simuhofii
zaidi
ya
Jah,
anaye
nidai
pumzi
hii
Nipo
kama
zamani,
nampindua
shetani
najiamini
Najua
nifanye
nini,
'napokuwa
majaribuni,
naomba
dua
(naomba
dua)
Nasali
nakufunga,
wachawi
nawatambua,
nawahumbua
(nawahumbua)
Kwa
maombi
nawatenga
hata
kabla
hawajaniua
natimua
(yeeah)
Naenda
kwa
ndugu
zangu
wanaonipenda
Nawapenda
kama
wanavyo
mpenda
mungu
Mana
nampenda
mungu,
Kuliko
mwangu
'Tunda'
(kuliko
mwangu,
'Tunda')
Kuliko
mama
Tunda,
Japo
ni
mwenzi
wangu
miaka
rudi
miaka
nenda
(miaka
nenda)
Simtaji
makisudi
kwa
vile
anaweza
kwenda
Tena
anaweza
kwenda
wakati
bado
nampenda,
akaniacha
peke
yangu
Ama
inawezekana
akaniacha
mi'
na
mwanangu
(mi'
na
mwanangu)
Si'
unaelewa
binadam',
ndo
wenye
ufaham'
walisema;
"mapenzi
sumu"
Japo
yapo
yenye
utamu
kama
ya
Eva
na
Adam
Lakini
matokeo
yake
Ndo
ivo
yametuhukum
wandamu
(yanatuhukumu
wanadamu)
(Mbele
yako)
yeah
(Nyuma
yangu
uuh)
Mbele
yangu
mie
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Ndugu
yangu
we
(Mbele
yako)
Mbele
yako
(Nyuma
yangu
uuh)
Nyuma
yangu
mie
he,
he
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Eeh,
Mungu,
Mungu
wangu
Muone
huyu
mbona
anachuki
kwangu
Chako
hakiwezi
kuja
kwangu
(Never
ever)
Mbele
yako
nyumba
yangu
Uuu
(Milele
na
milele)
Ukiangalia
mbaya
yangu
Uuu
(machache
saaana)
Lazima
utaona
na
mazuri
yangu
Uuh
(kibao
kibao
hayaesabiki)
Ila
kuongea
inakuwa
ngumu
uh
(wachache
wakisema
ukweli)
Mungu
uuuh,
sifa
kwangu
uh-uh
Sielewi
kisa
nini,
unaleta
chuki
na
mimi
Tukikutana
njiani
(eti?)
unakunja
kisirani
Ulisha
zipanga
ngumi
(barabarani)
kutaka
pigana
na
mimi
(haiwezekani)
Nikasema
sipigani,
(Ever!)
usela
wakizamani
(Amri
saba)
Unichukie,
waomba
mungu
wako
anifungie
Ridhiki
yangu
isinifikie
au
umeambiwa
mwanga
wako
mie?
Ikivuma
sana
ngoma
hupasuka
(Booom)
Subiri
mwisho
wangu
utafika
(Chuki)
Chuki
fitina
utasumbukaaaa,
yeeah
(Mbele
yako)
Mbele
yako
(Nyuma
yangu
uuh)
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Usinichukie
(Mbele
yako)
Mbele
yako
(Nyuma
yangu
uuh)
Nyuma
yangu
mie
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Aaah!
Kama
zamani
Twenty
na
Suleyman
Wanaogena
nakuongea
si'
bado
tunaendelea
Kujizolea
Heshima,
sifa
kibao,
ukpima
mimi
na
wao
utanielewa
'nachosema
Kwamba
hata
Tembo
akikonda,
hawezi
kuwa
kama
Ndama,
Ah
Kazi
ndo
kwanza
naanza,
kutokomeza
alafu
na
kukonyeza
Wanatongoza
kila
mkoa
na
madem'
Usiku
mnene
pombe
nyingi,
vipi!
Unakumbuka
kondom'
("Ooh!!!")
Okay
kijana
mdogo
usiseme
usiwe
na
nadem'
Lakini
usimpe
kisogo,
sheria
ya
mama
ya
hili
gem'
Ukicha
ndum',
mnauwezo
wakundika
rap
kwenda
jim'
kimtindo
kuonyesha
ugumu
Bado
una
mambo
mengi
yakujifunza
kwenye
gem'
Ili
udumu,
unaitaji
kuwa
na
nidham,
yakudum
sio
ya
kuchuga
'Taji-
utijihukumu,
niamini
baba
'ake
Tunda
Natenda
wema
nakwenda
Singoje
asante
yake
punda,
ndo
mana
bado
napanda
Nasitarajii
kustafu,
kwani
mziki
sio
Kandanda
(Sio
kandanda)
Watu
bado
wanapenda,
mchana,
usiku
wananiuliza
"kazi
mpya
lini
kamanda?"
("kazi
mpya
lini
kamanda?")
(Mbele
yako)
Oh-ah
(Nyuma
yangu
uuh)
Nyuma
yangu
mie
eh,
eah
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Ndugu
yangu
(Mbele
yako)
Oh-ah
(Nyuma
yangu
uuh)
Nyuma
yangu
mimi
(Usinichukie,
ndugu
yangu
uuh)
Usinichikie,
ndugu
yangu
uuh
Mbele
yako,
nyuma
yangu
chio,
au
vipi
Imeshakuwa
ya
pili
Toka
kwa
suleimani
wa
pili
(Selemani
Msindi,
Afande
Sele)
Aliotunga
'Darubini
Kali'
A.K.A
Simba
Zee
Kubwa
Anameno
Makali
Mkali
wamashairi,
mwenye
jina
la
fanana
na
la
mwana
yule
mtunga
Zaburi
Wapili
kwa
akili,
japo
sio
tajiri,
muziki
Bongo
(Tanzania)
Shubiri
Sio
asali
kama
we
unavo
fikiri
Hata
mkuu
wa
serikali,
analielewa
jambo
hili
Na
amesema
tusijali
lazima
atatupa
dili,
ndo
ivyo
tunasubiri
au
vipi?
Mbele
yako
nyumba
yangu
sio
Salute
sana,
pamoja
sana
sambamba
King
suleimani
the
secret
(Selemani
Msindi,
Afande
Sele)
1 Ningekusamehe
2 Bangi Bangi
3 Yanini Malumbano
4 Sitoi
5 Binti Kimanzi
6 Tamaa mbaya
7 Money money
8 Wajane
9 Sauti yangu
10 Kalamba mwiko
11 Naficha
12 Nyumba ya milele
13 Nimerudi Salama
14 Jieleze
15 Mali za Urithi
16 Bangi
17 Maisha Ya Bongo
18 Nilitegemea
19 Huyo Bwana Si Mfano
20 Mama Neema
21 Watu Pori
22 Subira
23 Mbele Yako Nyuma Yangu
24 Nia Yao
25 Chura
Attention! Feel free to leave feedback.