Lyrics Nilitegemea - Rorexxie
(Nilitegemea
wewe
utakuwa
na
mimi,
maisha
yangu
yote)
(Mipango
ya
mungu
na
ahadi
yako,
imefanya
leo
unipotee)
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
Nina
huzuni
moyoni,
mpenzi
mi'sikuoni
Umenitoka
machoni,
umebaki
akilini
Ipo
siku
moja
tutaonana,
minakuombea
dua
njema
Ulivyopumzika
pema,
lala
pema
peponi
amina
Kulia
nimeshalia,
moyoni
hujanipotea
Mwenyewe
nilishazowea,
narudi
unanipokea
Nani
atanipokea?
(Pia),
wewe
umetangulia
Na
sisi
tutafuatia,
hakuna
ataebakia
Lala,
lala,
pema
(lala
pema)
Ulale,
lala
pema
(yeah)
Lala,
lala
pema,
mollah
akulipe
mema
(Nilitegemea
wewe
utakuwa
na
mimi,)
(maisha
yangu
yote),
utawa
na
mimi
maisha,
yangu
yote
(Mipango
ya
mungu
na
ahadi
yako)
(imefanya
leo
unipotee)
imefanya
unipotee
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
Nimezaliwa
na
mimi,
ila
nahisi
nakuwa-crazy
Hakuna
sababu
nyingine,
ila
ni
wewe
wangu
mpenzi
Juzi
juzi
wamenitoa
kwenye
kitanzi,
yani
sijitambui
napiga
dakimazi
Hivi
ni
lini
nitakuona,
penzi
letu
kurudi
tena?
Wanawake
wengi
nimeona,
nangoja
ruhuksa
yako
kimwana
Yanatoka
moyoni,
mwengine
simtamani
Wewe
ndo
unathamani,
ila
haupo
tena
duniani
Yanatoka
moyoni
(bibi)
Mwengine
simtamani
Wewe
ndo
unathamani,
ila
haupo
tena
duniani
(Nilitegemea
wewe
utakuwa
na
mimi,
maisha
yangu
yote)
nilitegemea
(Mipango
ya
mungu
na
ahadi
yako,
imefanya
leo
unipotee)
nilitegemea
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
Ni
kilala
naota,
naota
kama
unaniita
Kama
jana
usiku
saa
sita,
harufu
yako
yamafuta
Gheto
kwenye
sita
kwa
sita,
nimehisi
kama
unaniita
Ile
kushituka
naamka,
kumbe
bado
naota!
Nikicheki
picha
zako
(aanh),
akumbuka
ukoo
lako
Nikiona
nguo
zako,
natamani
kukufuata
uliko
Lile
jasho
lako,
bado
kwangu
liko,
nimasikitiko
kwaajili
yako
(Nilitegemea
wewe
utakuwa
na
mimi,
maisha
yangu
yote)
kwaajili
yako
(Mipango
ya
mungu
na
ahadi
yako)
(imefanya
leo
unipotee)
imefanya
leo
unipotee
(Ajali
ajali),
Ajali
(imekufanya
darling
huwe
mbali
(ajali)
(Ajali
ajali),
Ajali
(imekufanya
darling
huwe
mbali)
imekufanya
darling
uwe
mbali
Dedication
to
all,
kulindana
nao,
kila
atakae
ku-give
you
complex
Soko
hile
Mtoto
wa
Dani
huyu,
na
wengine
wengi
waliotutoka
kwa
ajali
tofauti,
Pamoja
na
Aliya,
Rest
In
Peace
Pamoja
sana,
Back
Yard
Record,
20
Pah
(Nilitegemea
wewe
utakuwa
na
mimi,)
(maisha
yangu
yote),
utawa
na
mimi
maisha,
yangu
yote
(Mipango
ya
mungu
na
ahadi
yako)
(imefanya
leo
unipotee)
imefanya
unipotee
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
(Ajali,
ajali,
imekufanya
darling
huwe
mbali)
1 Ningekusamehe
2 Bangi Bangi
3 Yanini Malumbano
4 Sitoi
5 Binti Kimanzi
6 Tamaa mbaya
7 Money money
8 Wajane
9 Sauti yangu
10 Kalamba mwiko
11 Naficha
12 Nyumba ya milele
13 Nimerudi Salama
14 Jieleze
15 Mali za Urithi
16 Bangi
17 Maisha Ya Bongo
18 Nilitegemea
19 Huyo Bwana Si Mfano
20 Mama Neema
21 Watu Pori
22 Subira
23 Mbele Yako Nyuma Yangu
24 Nia Yao
25 Chura
Attention! Feel free to leave feedback.