Rorexxie - Maisha Ya Bongo Lyrics

Lyrics Maisha Ya Bongo - Rorexxie

(Yeah, 20 Percent from fam boys)
(Kufunga Ramadan, hatuna wakati maalum)
(Cheki maisha ya bongo jinsi yanavyotuendesha, man)
(Ona maisha ya bongo yanavyo tisha, afadhali ya jana kila kukicha)
(Hatuna hata muda wakumpuzika, kama vikatuni mbele ya walioridhika)
(Muone kijana wa bongo anavyovaa)
(Cheki pozi zake jinsi anavyokaa)
(Amechoka, kachoka, kachakaa, jitume huenda ukafarijika)

Tunateseka wote tunasurubika, hatujawahi kupata raha kabisa
Tumetoka home kwa kutoroka, tumewaacha wazazi wakilimishwa
Tukaandika ujumbe wala ipo siku, (ipo siku)
Maisha yetu yatajapata nafuu (nafuu)
Tunakokwenda hatupajui katu, twaomba baraka za wazazi watukufu
Tunakokwenda anaelewa jarali, kama tukifa watajapata habari
Kuishi mbali nao si hatujali, lengo letu kuishi maisha ya kifahari
Machafuko kila kukicha balaa (balaa)
Watu kuchoka mbaya kutafuta hela (hela)
Huyu kachomwa moto, huyu kaenda jela (jela)
Ooh noo., ukirudia fa-fire!
(Ona maisha ya bongo yanavyo tisha, afadhali ya jana kila kukicha)
(Hatuna hata muda wakumpuzika, kama vikatuni mbele ya walioridhika)
(Muone kijana wa bongo anavyovaa)
(Cheki pozi zake jinsi anavyokaa)
(Amechoka, kachoka, kachakaa, jitume huenda ukafarijika

Wenye tamaa wengi tumeshawazika
Wakikwaguwa wanachomwa wanawaka
Unamwibia mwenzako naye kachoka
Elewa fika shingo itagawanyika, mi
Sikufichi
Ndani ya hii nchi kunawatu hawana kitu, hadi wanatembea uchi
Nguo zimechanika chakaa, zinaviraka
Wengine tuko fichi japo hatuuzi mkaa
Tunavuja jasho, maisha bado michosho
Mithili ya vikinda vya kuku, kuamini nyonyokesho
Tunasifika 'amani, upendo, na mshikamano'
Sio kwamba hatugombani, kimtindo nasisi tumo
Hali si shwari, kamari inachezwa bila daftari
Kama unaakili kaambali, jihadhari muda wa hatari
Omari huoni hatari ajali kisa asali?
Hali haiko shwari, yabidikukaa mbali
(Ona maisha ya bongo yanavyo tisha, afadhali ya jana kila kukicha)
(Hatuna hata muda wakumpuzika, kama vikatuni mbele ya walioridhika)
(Muone kijana wa bongo anavyovaa)
(Cheki pozi zake jinsi anavyokaa)
(Amechoka, kachoka, kachakaa, jitume huenda ukafarijika
(Ona maisha ya bongo yanavyo tisha, afadhali ya jana kila kukicha)
(Hatuna hata muda wakumpuzika, kama vikatuni mbele ya walioridhika)
(Muone kijana wa bongo anavyovaa)
(Cheki pozi zake jinsi anavyokaa)
(Amechoka, kachoka, kachakaa, jitume huenda ukafarijika)

Writer(s): Abbas Hamis, Issai Ibungu

Rorexxie - Bongo Records
Album Bongo Records
date of release
20-12-2023

Attention! Feel free to leave feedback.