Rorexxie feat. 20 Percent - Naficha Lyrics

Lyrics Naficha - Rorexxie



20 Pah
Mtazamo wa mbali
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, haya ninayoyaona)
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, naogopa isije ikawa noma)
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, haya ninayoyaona)
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, naogopa isije ikawa noma)
Kuna familia nyingine kuwa uolewe
Miaka tisa tayari ana mumewe
Roho inaniuma lakini bora niuchune
Naficha wazazi wasinikane
Nyinyi ndie wakumpa kampani
Apate maisha mema hapa duniani
Miaka tisa leo yuko mbilini
Hiyo elimu huyo kapata lini?
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, haya ninayoyaona)
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, naogopa isije ikawa noma)
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, haya ninayoyaona)
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, naogopa isije ikiwa noma)
Niko kama jiko, napika madikodiko
Ila kwenye meseji na wala kiti hakipo
Bora mara *kumi niwe meza au wiko
Ndio mana ukinipamba sibweteki na maujiko
Niko kama jiko napika madikodiko
Ila kwenye meseji na wala kiti hakipo
Bora mara *kumi niwe meza au wiko
Ndo mana ukinipamba sibweteki na maujiko
Buyeka Selekta (Man Simba)
20 Per, Umefrahi?
Mzee mdomo unaponza kichwa
Sindano ndogo inayoshona makoti!
(Naficha na-na-na-naficha) naficha
(Naficha, haya ninayoyaona) eyeaah
(Naficha na-na-na-naficha) naficha
(Naficha, naogopa isije ikawa noma) Naficha naopoga isije ikiwa noma
(Naficha na-na-na-naficha) naficha
(Naficha, haya ninayoyaona)
(Naficha na-na-na-naficha)
(Naficha, naogopa isije ikawa noma) eyaah, eyaah
Kuna Dj, anasema hapokei rushwa ng'o!
Yani kule kwake tupeleke single
Tukipeleka nyimbo ndo songombingo
Haichezwi nyimbo, mpaka apate bingo
Nimejipiga nimekutana na producer
Baada ya kibanda chetu cha urithi kukiuza
Kutengeneza wimbo pesa nimemaliza, naye bila hela hataki kuicheza
Mulichobugi mulimzoesha hela
Mukasahau kwamba wengi mafukara
Mziki pesa mbele hivi sasa kwake ndio sera
Aliotuchana mdomo ndo hatatupa kura
Neno 'muziki' kwake familia bora
Mwanamuziki ni yule asioijua njaa
Kwa wenye fedha zitaongea hela, la wenye vipaji wengi mafukara
(Naficha na-na-na-naficha) eyaah
(Naficha, haya ninayoyaona)
(Naficha na-na-na-naficha) naficha na-na-na-naficha
(Naficha, naogopa isije ikawa noma) naficha naopoga isije ikiwa noma
(Naficha na-na-na-naficha) naficha na-na-na-naficha
(Naficha, haya ninayoyaona)
(Naficha na-na-na-naficha) naficha na-na-na-naficha
(Naficha naogopa isije ikawa noma) noma yeah
20 Per, asilimia chache ulimwenguni
Asilimia 20 sindano ndogo sana
Back Yard Record



Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie feat. 20 Percent - Brokėn
Album Brokėn
date of release
26-10-2023




Attention! Feel free to leave feedback.