paroles de chanson Ntampata Wapi - Diamond Platnumz
(Wasafi)
Sura
yake
mtaratibu
Mwenye
macho
ya
aibu
Kumsahau
najaribu
Ila
namkumbuka
sana
Umbo
lake
mahbibu
Kwenye
maradhi
alionitibu
Siri
yangu,
ukarimu
Bado
namkumbuka
sana
Alionifanya
silali
(eh)
jua
kali
(eh)
Nitafute
tukale
Lakini
hata
hakujali,
darling
Akatekwa
na
wale
Alionifanya
silali
(eh)
jua
kali
(eh)
Nitafute
tukale
Ila
wala
hakujali
Darling,
ah-aah
Nitampata
wapi,
kama
yule?
Niliompendaga
sana
Nitampata
wapi,
kama
yule?
Nae
anipende
sana
Nitampata
wapi,
kama
yule?
Niliompendaga
sana
Nitampata
wapi,
kama
yule?
Nae
anipende
sana
Aii,
aii,
nyota
Nyota
ndio
tatizo
langu
Aii,
nyota
Mpaka
nalia
pekee
yangu
Aii,
nyota
Nyota
ndio
shida
yangu
Nyota
Wamenizidi
wenzangu
Alidanganywa
na
wale
(wale)
Wenye
pesa
nyumba
ghali
(ghali)
Mi
kapuku
hakunijali
(jali)
Akanimbia,
hm
Alidanganywa
na
wale
(wale)
Wenye
pesa
nyumba
ghali
(ghali)
Mi
mnyonge
hakunijali
(jali)
Akanikimbia
Alonifanya
silali
(eh)
jua
kali
(eh)
Nitafute
tukale
Lakini
hata
hakujali,
darling
Akatekwa
na
wale
(halo)
Alonifanya
silali
(eh)
jua
kali
(eh)
Nitafute
tukale
Ila
wala
hakujali
Darling,
ah-aah
Nitampata
wapi?
(Oh,
wapi?)
Kama
yule
Niliompendaga
sana
(nampenda
sana)
Nitampata
wapi
kama
yule
(oh,
sana)
Nae
anipende
sana
Nitampata
wapi,
kama
yule?
(Penda
sana)
Niliompendaga
sana
(nampenda
sana)
Nitampata
wapi,
kama
yule?
(Oh,
sana)
Nae
anipende
sana
Bado
ananijia
ndotoni
(bado)
Ila
nikiamka
simwoni
(bado)
Bado
ananijia
nikilala
(bado)
Haki
ya
Mungu
sio
masihara
Bado
ananijia
ndotoni
(bado)
Ila
nikiamka
simwoni
(bado)
Bado
ananijia
nikilala
(bado)
Haki
ya
Mungu
sio
masihara
Yo'
touch
clever
(bado)
Hii
ni
sauti
ya
raisi
(bado)
Ilomshindaga
ibilisi
(bado)
Kwa
mwanadamu
sio
rahisi,
aha
Na
mwambie
(bado)
Lazma
ujue
kutofautisha
Kati
ya
msalaba
na
jumuilisha
Kuna
X
na
kuzidisha
Ni
cheche
(cheche...)
Bado
ananijia
nkilala
Haki
ya
Mungu
sio
masihara
1 Acha Nikae Kimya
2 Baba Lao
3 Baikoko
4 Eneka
5 Fire
6 Hallelujah
7 I Miss You
8 Jeje
9 Kanyaga
10 Kesho
11 Kizaizai
12 Kwanini
13 Lala Salama
14 Mapenzi Basi
15 Mawazo
16 Mdogo Mdogo
17 Moyo Wangu
18 Nataka Kulewa
19 Niache
20 Nikuone
21 Nitarejea
22 Ntampata Wapi
23 Sijaona
24 The One
25 Ukimuona
26 Utanipenda
27 Binadam
28 Inama
29 Mapenzi Kitu Gani
30 Kidogo
31 Iyena
32 Salome
33 Mbagala
34 Nalia Na Mengi
35 Natamani
36 Nimpende Nani
37 Upofu
38 Kamwambie
39 Chanda Chema
40 Tulia
41 Sikomi
42 Kosa Langu
43 Ccm Number One
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.