paroles de chanson Kesho - Dizasta Vina
Kesho
nafasi
ya
kuanza
upya
Kumaliza
kuishi
nafasi
ya
kuanza
kufa
Kuivunja
sheria
nafasi
ya
kufuata
ruksa
Kuikumbuka
jana
au
kuanza
kuifuata
future
Future
ni
leo
siku
ambayo
miti
hukimbia
Jua
hushuka
upendo,
marafiki
hufifia,
[hufifia
Wimbi
la
wanafiki
huingia
Kesho
ya
tumaini
hubakia
Tumaini,
shika
walau
shika
walau
Na
ujifunze
kuziba
kombe
pindi
anapopita
nyang'au
Akishapita
tenda
wema
halafu
kisha
sahau
Na
uchunge
unaponena
watakuzika
wadau
Wadau,
walikua
uchi
ukawavika
mavazi
Nyumba
yako
ikavunjika
wakakunyima
hifadhi
Je,
utasamehe
utasahau
kulipa
kisasi
Au
kesho
itakukuta
umeshika
risasi
Risasi
inawaza
wapi
itakukutia
kesho
Utatoroka
kambi
ama
utavungia
ghetto
Tusipofikia
lengo,
utahama
ukoo
kwa
kitu
kidogo
au
utaitumikia
nembo
Nembo
ya
mjeshi
ninayekaza
mwendo
kishujaa
Kama
unavyokaza
nyonga
kwenye
tendo
la
zinaa
Napiga
goti
nashukuru
uwepo
wa
sanaa
Kihisia
nawapeleka
kesho
majamaa
Majamaa
walikua
wavivu
hawakukazana
Waliishia
kuamini
kuwa
kuna
wingu
la
laana
Waliseti
mipango
ila
siku
hazikufanana
Huwezi
kuikabili
kesho
kwa
mbinu
za
jana
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.