paroles de chanson Wimbo Usio Bora - Dizasta Vina
Rudi
nyumbani
kapumzike
Rudi
nyumbani
kapumzike
Nimeshindwa
na
maudhi
Rudi
nyumbani
kapumzike
Ukishabadilika
utarudi
Maana
haya
mahusiano
yananipoteza
Haya
mahusiano
yananipoteza
Najua
we'
ni
mrembo
na
machoni
unapendeza
Ila
una
haraka
na
kwenda
na
kasi
yako
sitaweza
Umeanza
kuigeza
jinai
Eti
nipate
nguvu
unanilisha
pweza
na
chai
Haujui
habari
ulizosoma
zimewekwa
masilahi
Umeshika
simu
sana
mpaka
umenipoteza
walahi
Ukiona
mashati
mabuti
unapagawa
Na
miili
ya
movie
ambayo
wame-boost
na
madawa
Unataka
niache
kazi
na
mimi
nishinde
gym
niji-boost
Eti
niwe
kama
Jux
unanigawa
Umepumbazwa
hutaki
shika
kisomo
Unakubali
kila
kitu
hujui
mengine
ni
promo
Nilikuwa
nakuridhisha
leo
unataka
nikuridhishe
Mara
mbili
kwa
kunifananisha
na
wacheza
ngono
Unaniambia
sinukii
fresh
inanilazimu
Ninunue
marashi
ya
gharama
toka
Zenji
Toka
enzi,
nahisi
mpenzi
una
wazimu
Unanidharau
sababu
ya
maisha
unayo-check
kwenye
simu
Haki
ya
mama
ukweli,
uwongo
sibongi
Tangu
umepata
hiyo
simu
msosi
boko
sikosi
Usiku
mzima
una-chat
kelele
ndoto
sioti
Eti
unajiita
princess
Jojo
kidoti
Kwanini
usiache
drama
tuishi
ka'
zamani?
Hizi
kashikashi
zinanichanganya
Mara
unilambe
mara
utake
ku-kiss
hadharani
Kisa
kina
flani
walifanya
Ushanitia
nuksi
tangu
tanga
zama
Tungeweka
kifusi
cha
mchanga
ukachagua
harusi
ya
kisasa
Ukalia
machozi
nikavunga
nikakusikiliza
Mpaka
sasa
tunaishi
kwenye
nyumba
ya
kupanga
Kisa
unasema
dunia
tunapita
mpango
gani
huu
Ndani
hatuna
hata
akiba
ya
pesa
ni
vidani
tu
Sitasahau
siku
madeni
ya
harusi
bado
sijalipa
Ukalazimisha
nikope
ili
twende
honeymoon
Honeymoon
Huu
upendo
unaniliza
ah!
Huu
mwendo
umenishinda
Nimepaka
rangi
upepo
nimekupenda
wewe
Wakati
unapenda
urembo
kupitiliza
Nimegundua
hii
hujuma
sitanyamaza
Mpaka
sipeleki
tena
huduma
tena
kwa
maza
Baada
ya
miaka
kadhaa
ya
kwenye
nimegundua
Huu
upendo
wangu
unanilemaza
Zikwapi
enzi
zako
Kazi
umefukuzwa
maana
masihara
yameshusha
weredi
wako
Njaa
ikija
tuuze
hereni
na
cheki
zako
Au
tuuze
samani
ili
kulipa
madeni
yako
Kutumia
pesa
za
akiba
ndio
wazimu
kabisa
Kodi
ikija
haitalipwa
na
hizo
timu
za
Twitter
Mke
wangu
umejua
jiji,
mpaka
najiuliza
We
ni
nani?
Kwa
maana
mke
wangu
hakua
hivi
Nimeshachoka
ona
sura
yangu
inajieleza
Wakati
nakuoa
tabia
yako
ilipendeza
Namtaka
mke
wangu
wa
mwanzo
yule
niliyempenda
Sio
huyu
anayemsalimia
maza
kwa
kiingereza
Vile
unaniona
mpole
unajivika
mapembe
Nilikupa
uhuru
sasa
unanishika
makende
Hii
tabia
uliyoianzisha
inanisikitisha
na
nimeshindwa
Sa'
nazila
nisepe
Angalia
rafiki
zangu,
kisha
linganisha
na
rafiki
zako
Hasa
ambao
wanaomzunguka
binti
yangu
Huwa
nawaza
wanachomfundisha
ni
nini?
Zaidi
ya
umbea
kunywa
pombe
na
kupiga
vimini
Mama
hao
rafiki
zako
washaoza
Hakuna
afadhali
hata
mmoja
Wanapenda
sana
maisha
ghali
nilikupa
taadhali
ukae
mbali
Hukukubali,
yule
mrefu
alishawahi
kunitongoza
Anajua
nimekuoa
nimefunga
mageti
yangu
Nisingemkubali
hata
angenikuta
enzi
zangu
Ananishika
kila
akinikuta
peke
yangu
Anasema
umemwambia
kuhusu
ukubwa
wa
nyeti
zangu
Asa'
ndo'
nini?
Sijui
Kuruthumu
sijui
Martha
Mrefu
mweusi
yule
mwenye
tatoo
kwenye
paja
Ni
mpumbavu
sana
anajikuta
anajua
Ana
mdomo
mchafu
sijui
ka'
anaulia
chakula
Mbele
ya
mtoto
anatukana
ka'
pepo
Anajua
viungo
vyote
maana
alishalala
hadi
central
Kila
mtoto
wetu
huwa
napata
mateso
Unataka
tulee
mtoto
au
malaya
wa
kesho
Wema
hauna
gharama
mahususi
Ila
pindi
unapotenda
ubaya
Jua
ubaya
utarudi
hauwezi
kuitabili
kesho
hata
uwe
special
Dunia
duara
mama
acha
kujifanya
mjuzi
Siku
ambayo
yatakuhama
makundi
Na
mimi
nitaumwa
sana
niko
ndani
nimelazwa
mahututi
Na
pesa
hamna
ya
kununua
kiganja
cha
chumvi
Jirani
hawezi
kuja
maana
ushamtukana
matusi
Walishasema
wanazuoni
"ashakum
si
matusi"
Si
matusi
mke
wangu,
walishasema
Nyuma
ya
mwanaume
masikini
kuna
Mwanamke
mpumbavu
Pesa
tulizopoteza
sio
kinachoniuma
Pesa
zipo
na
zinatafutwa
Sio
gari,
sio
nyumba
kinachoniuma
Umenipotezea
time
na
siwezi
kuurudisha
muda
Umeiweka
kweli
sababu
ya
maisha
ya
ndoto
Umekumbatia
uongo
unaishi
kama
mtoto
na
Umekua
umefungua
milango
ya
kejeli
Elimu
ya
jando
na
unyago
zimefeli
Rudi
nyumbani
kapumzike
Rudi
nyumbani
kapumzike
Rudi
nyumbani
kapumzike
Ukishabadilika
utarudi
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.