paroles de chanson Money - Dizasta Vina
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
I
say
money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
I
heard
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
th
Ikasikika
sauti
wananchi
tuna
msoto
na
mashaka
Pesa
imefichwa
na
kigogo
mwenye
madaraka
Mjira
hamna
maisha
hovyo
tumechoka
kusafa
Na
kuanzia
sasa
tunaingia
chocho
kwenda
kukaba
Akapita
kibopa
mwenye
afya
Akiwa
ana
suti
kali
ni
dhahiri
ametoka
kwenye
Hafla
Hakusalimia
kwakuwa
ana
kiburi
Ila
ghafla
akajikuta
kwenye
kona
la
kibaka
Kona
la
kibaka
asiyezubaa
hasira
imemjaa
Amechakaa
life
imemchapa
Kamvaa
kibopa
kampiga
roba
matata
Pochi
ikadondoka
muhuni
akaokota
akachapa
raba
Masaa
kama
nane
kibaka
hajala
hata
Tumbo
linadai
na
isitoshe
jana
alilala
kapa
Akaenda
kwa
mama
Muuza
akapiga
Nguna
Alafu
kabla
hajasepa
akauliza
"nikilala
huduma
nitapata?"
Muuza
ni
dada
fulani
mwenye
bodi
tata
Kipato
hakimtoshi
anahitaji
kodi
ya
alipopanga
Mwenye
nyumba
ni
mgomvi
anahoji
anataka
mkwanja
Anasomesha
mtoto
Boarding
ana
boarding
wanataka
ada
Mtoto
anayelipiwa
ada
ye
hayuko
shule
Shule
amechoka
anatoroka
anauza
ngada
Tatizo
lake
mzembe
alipewa
mzigo
akaupoteza
Na
anadaiwa
na
bosi
mtata
Sasa
ameshahamaki
yuko
njiapanda
Mkono
mmoja
kwenye
kichwa
mwingine
ameshika
ada
Anataka
kumpa
Mtasha
anawaza
hela
haitoshi
anaahirisha
Anaenda
kwa
Pusha
kuvuta
ganja
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
I
say
money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
I
heard
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
th
Anafika
kwa
Pusha
anapewa
Kipuli
anavuta
mastimu
anapata
Anatoa
mpunga
ili
amlipe
pusha
Pusha
hajainuka
mzuka
umepanda
Pusha
kaona
Polisi
wakuda
kama
saba
Pusha
hajaficha
Puya
anakuta
mbwa
wametanda
Dogo
kaangusha
mpunga
kasepa
Pusha
kasanda
Hawezi
furukuta
kuruka
ukuta
kote
wamesanda
Riziki
mafungu
saba
wanasema
Pusha
kafunua
yote
mafungu
saba
hajapata
hata
moja
Polisi
wanaona
Pusha
hana
ujanja
Ni
aidha
waelewane
au
aende
Central
akanyee
makasha
Pusha
akaokota
mpunga
ule
mpunga
dogo
kauacha
Akihesabu
ni
nyingi
na
bado
anatoka
kapa
Akawaza
akimbie
labda
akaogopa
maana
Mmoja
ameshika
Maga
kubwa
SMG
chata
Akampa
mkuu
chake
na
wale
wenzake
akawapa
Kila
mmoja
akala
zake
akaenda
zake
kudampa
Mmoja
gambe
mwingine
anajua
kwamba
Anahitaji
dawa
kwa
maana
mkewe
anaugua
Kansa
Mwingine
ni
kamali
amekubuhu
hawezi
acha
Kufika
kwa
Sadali
kazungukwa
na
Mashanta
Na
habari
wote
tayari
wanaijua
namba
Yaani
hata
ucheze
kwa
shari
mali
hauwezi
pata
Kila
akicheza
hola
anaokota
garasa
Akicheki
mkwanja
unatoka
anaanza
kuogopa
karata
Chombo
kinaenda
mrama,
mchuzi
umekosa
radha
Pesa
sabuni
jamani
Polisi
akaanza
kudata,
Coz
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
I
approve
that
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
Ikasikika
toba
tena
kwa
sauti
ya
kwanza
Wajanja
Mkwanja
wamekomba
na
mjinga
nauli
imekata
Maniga
wamekomba
dola
wamezama
machaka
Na
Wasaa
wa
kugawana
chapaa
ndio
ikawa
utata
Akasikika
dogo
" Nawaheshimu
sana
mabradha
"
Mnafanya
mgao
gani
ambao
siuhafiki
hasa
Vile
mimi
ni
mdogo
mnanifanyia
undava
Hamuwezi
mkagawa
kote
alafu
mimi
Mkaniacha
Mshata
akajibu
akasema
dogo
kausha
kwanza
Hauwezi
ukapaza
sauti
mahala
ambapo
hauna
chata
Hauna
ubavu
hauna
title
kauli
hauna
Kaka
Hauna
mo
Dogo
akakunja
ndita
hasira
kushinda
Mdada
Aliyepima
akajikuta
na
Mimba
baada
ya
kubakwa
Gadhabu
ya
kwanza
ishu
kuwaza
Akakata
shauri
akachukua
kisu
akaanza
kumfata
yule
kaka
Sauti
ya
uchungu
ikasikika
dogo
aking'aka
Nipeni
haki
yangu
la
si
hivyo
moto
utawaka
Mkononi
zana
kali
akamfata
braza
Uku
braza
anatamba
kama
ubavu
anza
kunikata
Tumekulea
sisi
hapa
mjini
kabla
Haujaanza
kujua
jiji
kipindi
kaka
yako
kafa
Alileta
ujuaji
mwingi
kama
ufanyavyo
wewe
Tukamchinja
mwili
Kibiti
kichwa
Msata
Aliishia
hapo
hakumaliza
hata
Alichotaka
kuongea
alitoa
macho
kama
kakabwa
Maneno
hayatoki
tena
hali
ime-change
ghafla
Kisu
tumboni
kauli
imekata
ndio
maana
wanasema
kuwa
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
Money
makes
the
world
go
round
So
now
Money
makes
the
world
stops
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.