paroles de chanson Mwanajua - Dizasta Vina
Alizaliwa
mashariki
alifahamika
mahali
pote
Alikuwa
malaika
wa
ndoto
zetu
wote
Walimwita
Mwanajua
kwa
maana
alijua
vyote
Alitamalaki
nuru
ilitua
mahali
kote
Na
kila
mahala
alipita
watu
walimuheshimu
Hakwenda
shule
ila
aliheshimika
ka'
mwalimu
Alikuwa
mzuri
kweli
lakini
shobo
hana
Hakuna
aliyemgusa
kwani
alikuwa
wa
moto
sana
Urembo
ulimuweka
juu
hakushuka
anga
zetu
Alikuwa
maarufu
kushinda
hata
bwana
Yesu
Hata
watoto
walimpenda
walifanya
sherehe
Tuliobalehe
alipopita
tulimwaga
mbegu
Ilipofika
asubuhi
tulimuwaza
yeye
kwanza
Ilikuwa
ni
kama
desturi
kumfata
Tulikuwa
hatuli
tukasaza
Tuliwaonea
wivu
rafiki
zake
Mekuli
na
Veneranda
Walikuja
madogo
wajanja
na
mapesa
Wakauliza
mama
ukivaaje
unapendeza
Wakamuahidi
ndizi,
mawaridi
na
hariri
Lakini
jasiri
rangi
yake
ya
asili
ilitesa
Warembo
wa
dunia
na
vivazi
vyao
Waliwaza
kumfikia
na
ilibaki
njozi
kwao
Wazungu
walikuja
na
pozi
kibao
Walimkaribia
mwisho
walibabuka
Ngozi
zao
Mwanajua...
amepotea
kama
hakuwepo
Mwanajua...
ameondoka
kama
hakuja
Mwanajua
anatukumbusha
kuwa
kilichopo
Kitakuwepo
tu
kwa
muda
Mwanajua...
Mwanajua...
Mwanajua...
Tulijaribu
kutumia
chambo
Apite
anase
ili
tuweze
kutupia
mambo
Mitego
iliwekwa
aje
atumbukie
hapo
Tuliishia
kumwona
mbali
na
mwisho
kuumia
macho
Haki
ya
nani,
kuna
walo'diri
kumwita
Mungu
Walitukuza
walisadiki
na
kuabudu
Na
sisi
alitupa
nguvu
Tuweze
kupambana
kutafuta
pesa
ili
tu
tuweze
kummudu
Manyoka
waliyavua
magamba
yao
Wapendeze
ili
waje
waweze
kupata
fao
Walitanguliza
vyeti
na
madaraka
yao
Waliisha
kufa
tukawazika
na
haraka
zao
Licha
ya
utofauti
wake
Alikuwa
mkimya
hakuna
aliyeisikia
sauti
yake
Wenye
wivu
walichoshwa
na
mizingu
Maana
alingáa
sana
kiasi
alizificha
nyota
kama
wingu
Naziwaza
features
zote
complete
Nilitazama
sikuona
diva
wa
ku-compete
Bila
ina
ala
make-up
za
kisasa
Aliwaka
sana.
mtoto
Fulani
konki
Mwanajua...
amepotea
kama
hakuwepo
Mwanajua...
ameondoka
kama
hakuja
Mwanajua
anatukumbusha
kuwa
kilichopo
Kitakuwepo
tu
kwa
muda
Mwanajua...
Mwanajua...
Mwanajua...
Yeah!
Iwapi
barabara
isiyo
na
kona?
Simulizi
isiyo
na
mwisho?
Makala
zimeandikwa
tupo
na
nakala
tunasoma
Imeandikwa
upasuka
inapovuma
sana
ngoma
Vile
alikuwa
amesukwa
ni
kwere
Alipofika
ilikuwa
ka'
umeshushwa
umeme
Kwa
uzuri
utadhani
amejiumba
mwenyewe
Tulihisi
hatashuka
milele
Tulikosea
kwani...
zile
sifa
hazivai
tena
Imefika
jioni
na
yeye
hang'ai
tena
Ndege
hawaimbi
nyimbo,
misa
zimefungwa
Wamwaga
mbegu
wote
tumebaki
dilemma
Najiuliza,
alifichwa
na
ndugu
kwenye
kaya?
Au
alinenepa
kutoka
aliona
haya?
Hakujua,
tulishindwa
kutafakari
chanzo
Maana
alizima
na
hakuwa
wa
moto
kama
mwanzo
Anatukumbushwa
kuwa
tayari
inapofika
zama
Hatamu
yake
imefika,
zamu
yake
imekwisha
Hajaacha
hata
alama
ya
damu
yake
Amekufa
na
utamu
wake
Yarabi
nasikitika
sana
Namkumbuka
sababu
hakudanganyika
Nuru
yake
pahala
pote
ilitawanyika
Toka
mzizima
pwani
kote
alipagawisha
Aliondoka
na
mwisho
alionekana
ziwa
Tanganyika
Dhahania
zimeandikwa
alichoka
pengine
Aliondoka
ili
wang'ae
nyota
wengine
Itakufa
damu,
itakufa
nyama
Nenda
mwanajua
nenda
tutakumbuka
sana
Mwanajua...
amepotea
kama
hakuwepo
Mwanajua...
ameondoka
kama
hakuja
Mwanajua
anatukumbusha
kuwa
kilichopo
Kitakuwepo
tu
kwa
muda
Mwanajua...
Mwanajua...
Mwanajua...
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.