paroles de chanson A Confession of a Mad Son - Dizasta Vina
Ah!
watakwambia
mi'
wa
kishua
'cause
I'm
cute
and
Niko
juu
kama
human
kwenye
food
chain
Vile
I
look
good
and
I
got
this
cool
slang
Na
nina
rap
skills
ka'
Sean
P
wa
Boot
Camp
Watasema
kuhusu
my
intelligence
my
balances
Watakuambia
kuhusu
my
Teammates
my
Alliances
Watakuambia
kuwa
nina
fans
mpaka
Kansas
Na
nina-ball
pia
nina-draw
pia
ni
Enthusiast
wa
Science
Watakuambia
kuwa
nina
fans
mpaka
Marabu
Watakuambia
kuwa
my
brain
is
all
lava-full
Watakuambia
kuwa
nina
perfume
Ninayopaka
kuwa
ina
karafuu
na
ina-smell
wonderful
Hawatakuambia
kuhusu
aliyenikanya
hadi
nikome
Aliyenizaa
akanilea
akani
Akanipenda,
akani
Akanifanya
msafi
mnione
Silabi,
ah!
zinaunda
vitenzi
kwa
irabu
Kutengeneza
mashujaa
wengi
wa
vitabu
Tarihi
zinatungwa
toka
enzi
za
mababu
Mi'
nimeona
shujaa
wa
kweli
ni
ajabu
Sidhani,
kama
inatosha
kusema
"thank
you
Ukinihitaji
just
whistle
and
'Imma'
rescue
Ni
bahati
leo
niko
hai,
simple
nafurahi
kukuona
Ukiwa
happy
and
I'm
grateful
Kama
nina
nyota
nyumbani
nahitaji
nini?
Nahitaji
nini?
Uko
moyoni
mahala
ambapo
nahifadhi
PIN
Naku-post
'Insta'
kisha
naku-hashtag
QUEEN
Wapo
ambao
walifuga
kiburi
Wakazipanda
mbegu
wakavuna
sifuri
Walichana
misamba
wakavunja
misuli
Sikutetereka
maana
ulinifunza
vizuri
Umenifunza
jinsi
ya
kuishi
na
pia
Umenipa
hekima
umenipa
misingi
na
njia
Kisha
ukanipa
bega
kubwa
la
kukidhi
dunia
Linanipa
faraja
pindi
n'napohisi
kulia
Nani
mjinga
azuie
mbegu
bora
kuchipua?
Labda
kama
shamba
limezongwa
na
mabua
Umenilea
'Soja'
nimekua,
umenifunza
akiba
Maana
umasikini
kidonda
natambua
Niko
mbali
natafuta
miradi
sawia
Mvua
inanyesha
radi
nasikia
Bado
nasimama
Imara
Asante
kwa
kunilea
vyema
mama,
Umeipa
zawadi
dunia
Asante
kwa
upendo
wako
asante
kwa
kunipatia
hifadhi
Asante
kwa
mabusu
siwezi
kuhesabia
idadi
Asante
kwa
picha
kali
naiandikia
dibaji
We'
ni
shujaa
nitasimulia
vizazi
Happy
Birthday
Happy
birthday
Happy
birthday
Happy
birthday
Ukubwa
wa
upendo
wako
hauwezi
wekwa
mchanganuo
Nimekulia
mahala
ambapo
kuwa
mwema
si
chaguo
Umenipa
busara
sihitaji
tena
mafunuo
Ikiwa
nimepewa
funguo,
ya
kuifungua
dunia
Nasikitika
kauli
yangu
sio
rasmi
But
I'm
sure
you've
always
meant
for
some'
big
Maybe
that's
how
Angel
got
to
be
You're
a
proven
God
to
me
Wimbo
huu
ni
upendo
wangu
kwako
Marafiki
wanafurahia
uwepo
wangu
japo
Wapo
kadhaa
wanaochukia
uwezo
wangu
Hawatajua
wala
kuikisia
kesho
yangu
We'
ni
kioo
naona
lesson
nai-reflect
vile
Naona
pande
naona
mbele
najiuliza
Mi'
ni
nani
nikusahau
nikudharau
Wakati
wazi
umenipa
sababu
moja
zaidi
ya
ku-respect
women
Siwezi
lipa
tone
la
kamasi
ulilonifuta
Siwezi
tafuta
chozi
la
samaki
lililovuja
Siwezi
badili
muda
kisha
ukawa
thamani
Nikaurudisha
nawakusanya
wenzangu
nawafundisha
Tumweshimu
mama,
wapi
tunda
pasipo
mbegu?
Imeandikwa
iwapi
rutuba
pasipo
nyevu
Usipojua
umuhimu
wa
msingi
kwa
kuta
ndefu
Ni
sawa
na
kuzipanda
mbigiri
na
kuja
peku
We'
ni
sauti
ya
uchochezi,
hasa
n'napolega
We'
ni
lugha
we'
ni
kurasa
yangu
pendwa
We'
ni
kitabu
kitamu
siwezi
weka
kando
nikishika
We'
ni
ka'
kiini
kwenye
Atom
We'
ni
Oprah,
Michelle,
Shyrose
Bhanji
We'
ni
Winnie
Mandela,
Sophia(sonia)
Ghandhi
We'
ni
kama
paka
mwenye
roho
tisa
We'
Serena,
we'
ni
Stosh
Fellie,
Go
Tifa
You're
my
Violet
my
Rose
and
my
lily
ah!
You're
my
best
friend,
you're
my
wishing
star
You're
my
sweet
dreams
my
wonder
woman
My
Cat
woman,
you
are
my
first
love
and
that's
vivid
You
love
when
I'm
broke
and
when
I
get
paid
Before
and
after
my
payday
You
love
me
anyway,
so
I
surrender
my
Ego
And
my
Arrogance
and
I'm
singing
happy
birthday
Happy
birthday
oh
Happy
birthday
Happy
birthday
Happy
birthday
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.