paroles de chanson Muscular Feminist - Dizasta Vina
Dear
boys
dear...
men
Ni
sisi
wasichana
kina
dada,
mabinti
na
mama
zenu
Tunaongea
kutoka
upande
wa
chini,
upande
mbali
upande
kutoka
usawa
wenu
Upande
nilipo
msichana
kuna
hitilafu
'So'
sikio
lako
thabiti
ni
ushindi
kwangu
Ninayotaka
kusema
hapa
sio
siri
katu
Ili
ujue
nina
vingi
vya
ku-offer
kabla
ya
mwili
wangu
Kwa
miaka
mingi
nimeishi
gizani
Gizani
kwenye
baridi
na
miba
mingi
nyikani
Eneo
uliotaka
niishi
ni
eneo
kandamizi
Na
bahati
mbaya
we'
ndo'
mchoraji
wa
hii
ramani
Ramani
inamwonyesha
binti
kama
chombo
cha
mapenzi
Msindikizaji
mtoto
tegemezi
Ramani
isiyojua
vituo
Isiyojua
tunaweza
kuwa
marafiki
bila
kuvuana
nguo
Dear
boys,
dear
men
Mngeelewa
mngeiweka
fikra
sahihi
Kama
sanaa
jinsi
inavyozalisha
fasihi
Mi'
ni
mlezi
ukinivika
mi'
umeivika
jamii
U-gentlemen
sio
kulipa
mgahawani
Umeshapitwa
na
wakati
Hainisaidii
kunifungulia
mlango
nikifika
kwenye
gari
Nifungulie
fikra
nitafakari
Dear
boys,
dear
men
Tumekuwa
tegemezi
maana
mmeficha
mbegu
Nani
wa
kuipigana
vita
yetu
Umbali
kati
yetu
utakuwa
mkubwa
milele
Maana
si
ni
wahanga
wa
mifumo
mliyoiunda
wenyewe
Nikijaribu
kusoma
nabaki
bure
Maana
unajali
mwili
wangu,
ndo'
maana
sitaki
shule
Kila
nikienda
popote
wanaomba
ngono
Labda
niwe
changudoa
to
the
fullest
At
least
I'll
get
paid
Hata
sisi
tuna
life
too
And
the
world
doesn't
revolve
around
you
Nipo
tofauti
sikupenda,
na
tena
Unaponichezea
fahamu
kuwa
ninazeeka
mapema
Shujaa
unakumbukwa
mzazi
sikumbukwi
Na
kwanini
kuwa
msafi
sio
haja
kwako
Au
kutembea
kifua
wazi
ni
kujiamini
Nikitembea
mimi
ni
nusu
uchi
I
wish
ungejua
pride
yako
nayo
sumu
I
wish
ungejua
kuwa
uanaume
sio
nguvu
I
wish
ungejua
kuwa
binadamu
hajakamilika
Mwanaume
aliyekamilika
anatimiza
majukumu
I
wish
ungejua
kuwa
na
mimba
sio
haya
I
wish
ungejua
mwanamke
kuwa
kichwa
si
vibaya
I
wish
ungejua
kuwa
upendo
nao
una
nguvu
kwahiyo
mwanamke
akitongoza
Mwanaume
si
malaya
I
wish
ungejua
kuonyesha
fear
sometimes,
it's
okay
It's
okay
kulia
sometimes
I
wish
ungejua
uongozi
hauoni
jinsia
si
Tatizo
mwanamke
kuongoza
njia
sometimes
Mifumo
mliyoianzisha
ina
maisha
Na
chenye
maisha
kinazikwa
Kwahiyo
ipo
siku
mwanamke
atasimama
Na
vita
tunayopigana
tutashinda
Inasikitisha
hamkui
kihisia,
japo
mnakua
kiakili
Natamani...
natamani
mngejua
kuwa
inauma
sana
kuwa
namba
mbili
kwenye
kila
nyanja
Ego
ni
power
ila
iogope
Maana
ni
upanga
unaokata
pande
zote
Ngoma
nzuri
ngoma
nzuri
haitavuma
milele
Ukitumia
ubabe
vibaya
utakuvunja
mwenyewe
Hadithi
ya
mwanamke
alimshawishi
Adam
kula
tunda
Iliandikwa
na
wewe
Sijui
Delilah
alichukua
nguvu
za
mumewe
akaziuza
Iliandikwa
na
wewe
Upande
wangu
wa
hadithi
haujasikilizwa
Pengine
hautasikilizwa
hasirani
Maana
ulianzisha
shule
akasoma
mwanaume
Mwanamke
nikabaki
nyumbani
Dear
boys,
dear
men
Hamtakaa
kwenye
kilele
Maana
kilele
ni
kuwa
mama
Mi'
ni
kichwa
sio
wewe
ungekuwa
kichwa
Mtaani
kusingekuwa
na
single
mothers
Lini
mtaacha
kutuita
mademu
Au
labda
mwite
demu
mama'ako
Ukiona
hauwezi
naomba
niheshimu
kwa
maana
heshima
inaanza
kwako
Na
haja
ya
maelewano
iko
hapo
I
mean...
ipi
salama
ya
kichwa
cha
familia
bila
Mkono
wa
kuosha
macho?
Najua
tupo
tofauti
Na
tofauti
yetu
itabaki,
itabakia
hivyo
milele
Ila
naomba
usinichukie
nielewe
Dear
boys,
dear
men
Ni
sisi
wasichana,
kina
dada,
mabinti
na
mama
zenu
Tunawasilisha
kutoka
upande
wa
chini
upande
wa
pili
Upande
mbali
kutoka
usawa
wenu
Dear
girls,
dear
Women
Ni
sisi
kina
kaka,
kina
baba,
wanaume
machizi
wenu
Tunaongea
kutoka
upande
wa
juu,
upande
wa
mbali
Upande
uliowekwa
na
asili
yetu
Upande
wenye
mafungu
yenye
ulanguzi
Upande
wenye
uthubutu
na
maamuzi
Upande
wenye
machozi
jasho
na
damu
Uongozi
upako
ufahamu,
upande
usio
na
uhuru
na
uchaguzi
Upande
uliofanya
wanaume
tutengwe
na
tunu
Tutengwe
na
tunu
Upande
ambao
pengine
kuishi
wewe
ni
ngumu
Upande
ambao
asali
yake
ni
kilele
cha
sumu
Upande
ambao
haushabikii
tija
ya
upendo
au
furaha
au
amani
Kama
hauangalii
pima
utagundua
upande
niliosimama
mimi
ni
ngao
ya
jamii
nzima
Uanaume
sio
ushindi
ni
jukumu
Uanaume
sio
rizki
ni
hukumu
Ungejua
kwanini
wanaume
wana
msongo
wa
mawazo
pengine
ungefurahia
udogo
wako
Dear
women,
dear
girls
Mmekuwa
chombo
cha
ngono
Maana
mmetufanya
chombo
cha
fedha
Kama
nguo
hazitabadili
mishono
Hatuwezi
kuwa
marafiki
bila
ngono
nawaeleza
Mnapoona
padogo
pana
taswira
ndefu
Kiasi
haujui
si
ndio
tuliopigana
vita
yenu
Hata
mkiamka
mmekuwa
wanaume
leo
Mtagundua
kuwa
jinsia
sio
cheo
Wapendwa
tukishindana
mtashindwa
Hata
mkishinda
ushindi
wenu
hautalindwa
Kama
ambavyo
kila
mmoja
anatumia
choo
chake
Kila
mmoja
a-play
role
yake
na
awe
bingwa
Dear
women
Ndoa
sio
mafanikio
Kuna
wengi
wanakonda
maana
ndoa
zao
sio
Ndoa
ni
mwiba
usijivune
Ukiipata
niamini
unaweza
kukamilika
bila
mume
Dada
baki
shule
bila
elimu
utateseka
Ukitegemea
urembo
ipo
siku
utazeeka
Kama
ukiweka
mwili
wako
hisani
Ukizeeka
tutajali
ulichonacho
kichwani
'Skiza'
hata
wanaume
tuna
doubts
too
And
this
world
doesn't
revolve
around
you
Tuna
stress
zinatufunga
na
tena
Kazi
zetu
ni
ngumu
ndo'
maana
tunakufa
mapema
Kama
unahisi
upo
huru
umepotoka
Hauwezi
kuwa
huru
wakati
umelipiwa
posa
Dear
women
It's
okay
kuwa
namba
mbili
Majukumu
sio
mashindano
acha
kukalili
It's
okay
kumlea
mwanaume
asiye
na
kazi
Ukaendelea
kumuheshimu
bila
kumshusha
hadhi
Mbona
sisi
tunalea
wanawake
masikini
wamekata
ringi
na
bado
mtaani
hatutatangazi
Mwanaume
ana
jukumu
la
kujenga
msingi?
No,
msingi
unajengwa
na
elimu
Kwa
mfano
nani
anayekubali
kucheza
uchi
kwenye
videos?
Jiheshimu
nikuheshimu
Urembo
pia
ni
power,
ila
ni
power
na
iogope
Maana
ni
upanga
unaokata
pande
zote
Ngoma
ya
uzuri
haitovuma
milele
Ukiutumia
urembo
vibaya
utakuvunja
mwenyewe
I
wish
ungejua
unachowaza
ni
muhimu
Ukifanyia
kazi
na
kuwa
wa
kwanza
si'
majibu
I
wish
ungejua
kwamba
asili
imenipa
umwamba
Nikulee,
kukulea
wewe
ni
msaada
si'
wajibu
I
wish
ungejua
tuko
tofauti
hata
utunge
dini
Hauwi
mwamba
kwa
kumweka
mwanaume
chini
I
wish
ungejua
kuwa
kichwa
ni
hukumu
Maana
hakuna
kinachotisha
kama
jukumu
Wangapi
tumelelewa
na
hao
single
mothers
Maskini
and
we
turned
out
just
fine
Maybe
idea
ya
kuacha
kujali
mtoto
sababu
Baba
mjinga
ingeachwa
far
behind
Tunasubiria
uhalisi
ubadilike
Labda
uhalisia
haubadiliki
huu
Labda
ni
wakati
wa
kukubali
ili
yaishe
kwamba
Mtoto
ni
wa
mama
na
baba
ni
rafiki
tu
Lini
mtaacha
kutuita
madanga
ma-sponsors?
Ndio,
niheshimu
nikuheshimu
nitaacha
wewe
Ukiona
imetosha,
au
sio?
Najua
tuko
tofauti
Na
tofauti
itabaki
hivyo
milele
Usinichukie
nielewe
Dear
girls,
dear
women
Ni
sisi
kina
kaka
kina
baba,
wanaume
machizi
wenu
Tunawasilisha
kutoka
upande
wa
juu,
upande
mbali
uliowekwa
na
asili
yetu
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.