paroles de chanson The Verteller (Intro) - Dizasta Vina
Inafaa
kunena
Inafaa
kunena
labda
ni
muhimu
sijui
Labda
kusimulia
si
karama
kama
wanavyosema
Ikiwa
msimuliaji
huingia
hatarini
Labda
kweli
baraka
ni
laana
njema
Wasikilizaji
nasikia
wana
ndoto
na
wenyewe
Si
uongo
Hadithi
nzuri
ndo'
kilele
kwa
wasikilizaji
Ila
ndoto
ya
msimuliaji
Ndoto
ya
msimuliaji
ni
kulindwa
milele
Kwanini
azibwe
mdomo
wakati
ubongo
unapiga
kelele?
Si
lazima
msimuliaji
apazwe
la
hasha!
Atandikiwe
majani
au
aandikwe
kama
mwanasiasa
Lakini
lengo
lake
awe
huru
msimuliaji
atambe
Alindwe
ili
waovu
waonyeswe,
mashujaa
watangazwe
Ona
kuna
wasimuliaji
hukwepa
pande
tupu
Yani
baada
ya
mitaji
husimulia
upande
wa
wenye
nguvu
Wapo
wabinafsi
wanaotangaza
jinsi
asili
ilivyowahusudu
Husimulia
walivyoshinda
vita
wakigombea
asali
na
wadudu
Swali
ni
je?
Nani
atasimulia
hadithi
ya
wadudu?
Nani
atasimulia
kua
si
mara
zote
mchukua
asali
alimsulubu
mdudu?
Nani
atasimulia
hadithi
ya
shetani,
Baada
ya
kusikia
upande
wa
Mungu?
Baada
ya
kusikia
upande
wa
Mungu
Waungwana
kumbukeni
ya
muhimu
na
ziada
Kumbukeni
ya
uchumi
jamii
na
siasa
Lindeni
ghala
la
chakula
na
maji
Lakini
msisahau
kumlinda
msimuliaji,
ni
afya
Japo
kuwa
msimuliaji
si
alama
ya
taifa
Lakini
fikiria
mtu
ambaye
yupo
tayari
kulipa
gharama
ya
maisha
Msimuliaji
hukukumbusha
ulipotoka
ujue
unapoenda
Na
hiyo
ndio
faida
Labda
ukumbuke
ya
mdimu
na
majoka
Au
simulizi
za
mizimu
ya
mloka
Au
tarihi
ambazo
ni
historia
za
kuziheshimu
Maana
asiyeijua
historia,
huweza
kurudia
makosa
Msimuliaji
hachagui
upande
maana
hapendi
kupotoka
Hafungamani
na
misalaba
au
alama
za
mwezi
na
nyota
Alama
za
wasimuliaji
walioidondosha
kheri
Waliookota
sifa
wakati
wakiidondosha
kweli
Enyi
wa
khaki
kijani
na
manjano
Mmeona
nyekundu
ile
pale?
Haijaja
pale
leo
ipo
tangu
kale
Msiruhusu
iwaguse
Si
kwakua
hamna
hadhi
La
hasha
Ila
ile
rangi
anaifahamu
msimuliaji
Ile
rangi
ni
damu
iliyomtoka
au
kumrukia
Na
mchanganyiko
wa
pande
zote
za
dunia
Anaijua
leo,
aliijua
jana
Hajaisoma
au
kuisikia
Aliipata
wakati
akitafuta
vya
kusimulia
Na
ni
hivi
anavyotaka
kukusimulia
leo
Nyakati
za
katikati
kwenye
eneo
la
ukanda
wa
kidachi
Zilizaliwa
lugha
tatu,
Lugha
ghafi
Na
kati
yao
ilikuwepo
lugha
iliyoitwa
lugha
ya
watu
Kwenye
ukanda
huu
msimuliaji
Hakuitwa
Narrator
au
story
teller
kwa
kiingereza
Hakuitwa
Erzahler
japo
kuwa
ukanda
huu
Ulikuwa
karibu
sana
na
Ujerumani
Hakuitwa
Rawi
kwakua
huu
ukanda
haukuwa
wa
kiarabu
Msimuliaji
aliitwa
the
Verteller
Kama
Christopher
Hitchens
Ama
Professor
Laurence
Krauss
Ama
Shaaban
Robert
Ama
Francis
Scott
Key
Fitzgerald
Ama
Chimamanda
Ngozi
Ama
Fred
Saganda
Ama
Alice
Walker
Ama
Octavia
Burtler
Ama
Lufufu
Mkandala
Ama
Rainfred
Masako
Dizasta
vina,
mabibi
na
mabwana
Ni
the
Verteller
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.