paroles de chanson Kadada - Darassa , Mbosso
Kadada
kamenona
Nyuma
kameumbwa
kameshona
eeh
Kadada
kamenona
Nyuma
kameumbwa
kameshona
eeh
(It's
S2kizzy
beiby)
Nataka
niimbe
na
wewe
Leo
unisikilize
kadada
Chonde
dedede
Dede
moyo
nitulize
kadada
Kama
ikiwa
ya
moto
Nipe
nipulize
kadada
Mimi
bwegege
Gege
kwako
nimalize
kadada
Eey
akisema
afungue
duka
kadada
We
ona
watu
wataacha
change
Utajikuta
unachoma
pesa
tu
baba
Watu
wanateleza
kizenji
Sura
ya
kisomali
Shepu
nyama
nyama
tele
(Tele)
Chachandu
kachumbari
Namchomea
tetere
(Tele)
Putururu
msonobari
Namfungia
kwa
mbele
(Mbele)
Kulia
nina
rosary
Kushoto
fundo
la
ndele
(Ndele)
Adana,
taratibu
usinikimbize
basi
Adana,
mi
mnyonge
sijazoea
gasi
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Na
Mungu
kazi
ya
kuumba
anajua)
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Kisura
kama
jua
linatua)
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Vile
nina
kipini
cha
pua)
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Mmmh
amazing,
amazing)
Kadada
kamenona
Nyuma
kameumbwa
kameshona
eeh
Kadada
kamenona
Nyuma
kameumbwa
kameshona
eeh
Akiba
ana
nywele
Ama
akiziachia
(Kadada
kadada)
Unalewa
bila
kunywa
Akikuangalia
(Kadada
kadada)
Anataka
kunipa
ajifanye
mchoyo
Hata
kuniendesha
endesha
kitoyo
Anavyotingisha
tingisha
yoyoyo
Hata
kunidatisha
datisha
nifollow
Kwa
kupendeza
kama
anakomoa
Hata
mademu
wenzake
Mark's
wanatoa
Mwana
hajapaka
make-up
kapoa
Sasa
usimkute
ameshajipodoa
podoa
Sura
ya
kisomali
shepu
nyama
nyama
tele
(tele)
Kingine
nampendea
mtu
wa
fashion
fashion
Mambo
flani
flani
ya
kisasa
Subiri
uone
action
action
Akiinuka
akitembea
mambo
kwasa
kwasa
Sura
ya
kisomali
Shepu
nyama
nyama
tele
(Tele)
Chachandu
kachumbari
Namchomea
tetere
(Tele)
Putururu
msonobari
Namfungia
kwa
mbele
(Mbele)
Kulia
nina
rosary
Kushoto
fundo
la
ndele
(Ndele)
Adana,
taratibu
usinikimbize
basi
Adana,
mi
mnyonge
sijazoea
gasi
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Na
Mungu
kazi
ya
kuumba
anajua)
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Kisura
kama
jua
linatua)
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Vile
nina
kipini
cha
pua)
Mungu
kamuumba
kadada,
kadada
(Mmmh
amazing,
amazing)
Kadada
kamenona
Nyuma
kameumbwa
kameshona
eeh
Kadada
kamenona
Nyuma
kameumbwa
kameshona
eeh
Kingine
nampendea
mtu
wa
fashion
fashion
Mambo
flani
flani
ya
kisasa
Subiri
uone
action
action
Akiinuka
akitembea
mambo
kwasa
kwasa
(Ka
Mix
Lizer)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.