paroles de chanson Tulizana - Mbosso feat. Njenje Band
Eeeh,
mmmh,
eeh
Ana
vidimple
dimple
Vishimo
shimo
mashavuni
Mikononi
vipiko
piko
Eti
kipini
kipo
kitovuni
Ya
nini
nibaki
kiwiliwili
Na
kichwa
changu
ni
wewe
Iweje
pendo
kwao
liwe
pilipili
Na
twakula
wenyewe
Mungu
kakuumba
Mithili
ya
malaika
yayaya
Samaki
wa
kukunja
Chumbani
unanyumbulika
yaya
Kwa
penzi
usitie
kibanzi
Kitaniumiza
ah
Upendo
ukawa
kitanzi
Nikajining'iniza
aah
Ikienda
mrama
irudishie
(Popoa
popoa
dodo)
Ikikwama
kwama
isukumie
(Popoa
popoa
dodo)
Tulizana
Tulizana
mpenzi
tupendane
Tulizana
mpenzi
tupendane
Tulizana
mpenzi
tupendane
Tulizana
mpenzi
tupendane
Kama
nyota
na
mwezi
Vilo
mwana
na
angani
Tung'arishe
penzi
letu
sote
Tupeane
penzi
bila
choyo
chochote
Na
bila
hiana
kwetu
sote
Elewa
mapenzi
ni
chombo
Kinachotuunganisha
Ni
chombo
kinachosafiri
Kati
ya
mioyo
yetu
miwili
ilothibiti
Tulizana
mpenzi
tupendane
Tulizana
mpenzi
tupendane
Tulizana
mpenzi
tupendane
Tulizana
mpenzi
tupendane
Ikienda
mrama
irudishie
(Popoa
popoa
dodo)
Ikikwama
kwama
isukumie
(Popoa
popoa
dodo)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.