paroles de chanson Nipo Nae - Mbosso
(Ayolizer)
Masikini
hana
fuba,
hana
fuba
Anazeeka
yule
mwezangu
Haamini
anavyochunda
anachunda
Nimeondoka
na
nyota
yangu
Nafsi
ilichoka
madhira
(Ooh
madhira)
Ya
pundazo
na
fadhila
(Ooh
fadhila)
Nimempata
wa
njema
dhamira
(Ooh
dhamira)
Wa
kufunga
magoli
si
wa
bila
(Ooh
wa
bila)
Mmmh
shata
shata
(Shata)
Penzi
limetaradadi
Sina
shaka
(Shaka)
Inyeshe
na
ipige
radi
Rasha
rasha
(Rasha)
Kwetu
mambo
maji
maji
Baby
washa
washa
(Washa)
Waambie
wanaosubiria
Bado
nipo
nipo
nae
Bado
tupo
sana
tu
(Bado
nipo
nipo
nae)
Ndo
kuanza
tunayaanza
(Bado
nipo
nipo
nae)
Wenyewe
tumeshazoeana
(Bado
nipo
nipo
nae)
Mi
bado
nipo
na
yeye
Naomba
msitufuate
Naomba
msitufuate
Naomba
msitufuate
Naomba
msitufuate
Raha,
raha
mustarehe
Sijaomba
napewa
Nifikishwe
nitosheke
Raha
kila
siku
sherehe
Jamani
nanyenyekewe
Eti
nile
nikogeshwe
Penzi
birika,
yake
sifai
ni
kimiminio
Ah
nimeshikwa,
kwenye
kichwa
mpaka
masikio
Mambo
tartita,
ulichosusa
hakula
mwenzio
Mwana
ana
sifa,
ananipa
paja
kwa
kipapatio
Amekupenda
mama
tulia
tulia
Tule
zetu
ni
ujana,
dunia
dunia
Mambo
ya
wanadama,
puuzia
puuzia
Wapasuke
bandama,
sindano
ishawaingia
Mmmh
shata
shata
(Shata)
Penzi
limetaradadi
Sina
shaka
(Shaka)
Inyeshe
na
ipige
radi
Rasha
rasha
(Rasha)
Kwetu
mambo
maji
maji
Baby
washa
washa
(Washa)
Waambie
wanaosubiria
Bado
nipo
nipo
nae
Bado
tupo
sana
tu
(Bado
nipo
nipo
nae)
Ndo
kuanza
tunayaanza
(Bado
nipo
nipo
nae)
Wenyewe
tumeshazoeana
(Bado
nipo
nipo
nae)
Mi
bado
nipo
na
yeye
(Wasafi)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.