paroles de chanson Karibu - Mbosso , Diamond Platnumz
(Abbah),
(Ayolizer)
Ishafika
saba
sasatunakungojea
Imebaki
miezi
miwili
tu
hebu
siku
sogea
Tuna
shauku
na
bashasha
ya
kukupokea
Sio
mimi
na
mama
yako
tu
na
bibi
anakuombea
Mmmh!
Imani
yangu
inanituma
Unanisikia
baba
yoo
(Baba
yooyoo)
Na
furaha
yangu
dongo
kumung'unya
Anapobugia
mama
yoo
(mama
yoo
yoo)
Mmmm!,
dalili
wazi
wazi
Kwa
muda
usha
tawakal
Natamani
useme
zawadi
Ila
acha
ninunue
vigari
Oooh
kuna
shangazi
Kibiti
kwa
mzee
kikali
Ukiota
meno
ataleta
viazi
Ule
mihogo
uwe
ngangari
(Ule
mihogo
uwe
ngangari)
Kwanza
nitakupa
jina
gani
Talala
talala
lala
talala
Kwanza
karibu
duniani
baba
Talala
talala
lala
talala
Kwetu
furaha
isiyo
kifani
Talala
talala
lala
talala
Ila
kuna
mengi
duniani
baba
Talala
talala
lala
talala
Mmmh!
kwa
furaha
niliyonayo
Ningechinja
ng'ombe
kwa
tambiko
Ila
baba
yako
uwezo
sina
Pokea
uji
kwa
kijiko
Pokea
mwanangu
(Ai
yo
yo)
Tena
awape
na
habari
Waropokaji
wapambe
We
ni
wangu
wa
halali
Wasije
zani
vya
Nyange
Dunia
ni
mafuriko
mvua
kwote
Wanadamu
mioyo
ya
matope
Ukitukanwa
mwiko
usiogope
Jikaze
mwana
wa
Dangote
Ooh
wasimuone
Kimasomaso
wasimuone
Wenye
jicho
la
chuki
wasimuone
mwanangu
Kimasomaso
wasimuone
Ooh,
wasimuone
Kimasomaso
wasimuone
Wenye
roho
mbaya
wasimuone
Kimasomaso
wasimuone
Sa
ringisha
tumbo
ringa,
sa
baby
ringa
Waonyeshe
ringa,
wadolishie
ringa
Sa
ringisha
tumbo
ringa,
oh
baby
ringa
Wao
si
wanazitoa,
asa
wadolishie
ringa
Kwanza
nitakupa
jina
gani
Talala
talala
lala
talala
Kwanza
karibu
duniani
baba
Talala
talala
lala
talala
Kwetu
furaha
isiyo
kifani
Talala
talala
lala
talala
Ila
kuna
mengi
duniani
baba
Talala
talala
lala
talala
Ndo
namnyema
mwanangu
(Aiyoyo
kwa
baby
shower)
Ooh
rafiki
kwa
ndugu
zangu
(Aiyoyo
kwa
baby
shower)
Furaha
na
uzazi
wangu
(Aiyoyo
kwa
baby
shower)
Naringa
ringa
na
mwanangu
(Aiyoyo
kwa
baby
shower)
Aiyoyo
kwa
baby
shower
Aiyoyo
kwa
baby
shower
Aiyoyo
kwa
baby
shower
Aiyoyo
kwa
baby
shower
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.