paroles de chanson Mtaalam - Mbosso
Na
Mbosso
Khan
tena
(Sounds
by
Abbah)
Una
kila
sababu
Ya
kusimama
kimaso
maso
Mungu
kweli
wa
ajabu
Kanionyesha
kwa
yangu
macho
Chukua
zangu
swahabu
Mi
nibaki
na
dhambi
zako
Unishikishe
adabu
Mida
ya
kulala
nitokwe
jasho
Mi
sijui
kupigna
mwili
wangu
wa
mapensi
dear
Tusipende
kugombana
mi
mwepesi
kulialia
Si
kujibanabana,
raha
ya
penzi
kujiachia
Wako
mahututi
mama,
nimekufa
nimejifia
Eeeh!
Nalambishwa
asali
Kwenye
mzinga
wa
nyuki,
tamu
ni
hatari
Nalambishwa
asali
Nachezeshwa
buzuki,
dudu
chalichali
Nimempata!
Nimempata
mtaalam
nimempata
Nimempata
mtaalam
nimempata
Nimempata
mtaalamu
nimempata
Nimempata
mtaalamu
nimempata
Mi
mTanzania
wa
halali,
ila
chembechembe
za
India
Mungu
kaninyima
ufahari,
ila
kwa
huba
najisifia
Sitakuhonga
magari,
ila
mahaba
utasanzia
Penzi
kachumbari
kwa
ugali
na
pilipili
ya
kushagia
Aah
eeh!
Nikuite
nani?
Majina
yote
nishamaliza
Aah
eeh!
Wangu
wa
ubani
Umeweza
kunituliza
Aah
eeh!
Mambo
ya
chumbani
Yaani
nalala
huku
napulizwa
Aah
eeh!
Penzi
zito
tani
Napewa
raha
kupitiliza
Eeeh!
Nalambishwa
asali
Kwenye
mzinga
wa
nyuki,
tamu
ni
hatari
Nalambishwa
asali
Nachezeshwa
buzuki,
dudu
chalichali
Nimempata!
Nimempata
mtaalam
nimempata
Nimempata!
Nimempata
mtaalam
nimempata
Mtaalamu
wa
mapenzi
Nimempata
mtaalamu
nimempata
Fundi
wa
mafundi
kungwi
Nimempata
mtaalamu
nimempata
(Kwa
Mix
Lizer)
Wasafi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.