paroles de chanson Limevuja - Mbosso
Oooh,
oooh
maya
aah
(Nusder)
Si
umesema
mi
baniani
mbaya
Na
uwepo
wangu
kwako
sio
dawa,
haya
aah
Penzi
nikashona
tenzi
na
riwaya
Kwenye
moyo
wako
livae
liwe
sawa,
limepwaya
Napuliza
majivu
maana
moto
siuoni
Kooni
maumivu
vumbi
larudi
machoni
Ahadi
za
mbivu
zimebaki
ndotoni
Lile
penzi
tulivu
leo
lipo
kikaangoni
Imeniponza
huruma
kirungi
Kujitisha
kumsaidia
Kumbe
katoboa
mtungi
Maji
yananimwagikia
Penzi
limevuja
tena
Penzi
limevuja
tena
Penzi
limevuja
tena
Penzi
limevuja
tena
aah
Ulisema
sikiwambaza
Penzi
letu
ukuta
wa
chuma
Nikitoka
kiwalaza
Utanistiri
nywele
za
nyuma
Mara
kwa
mara
ulilia
Kifuani
umenilalia
Ukijuta
unayachukia
Yale
ulopitia
Eti
kama
mimi
hujaona
Wa
kufanana
naye
Asa
mbona
hukusema
Kama
ushakutana
naye
Napuliza
majivu
maana
moto
siuoni
Kooni
maumivu
vumbi
larudi
machoni
Ahadi
za
mbivu
zimebaki
ndotoni
Lile
penzi
tulivu
leo
lipo
kikaangoni
Imeniponza
huruma
kirungi
Kujitisha
kumsaidia
Kumbe
katoboa
mtungi
Maji
yananimwagikia
Penzi
limevuja
tena
Penzi
limevuja
tena
Penzi
limevuja
tena
Penzi
limevuja
tena
aah
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.