paroles de chanson Yalah - Mbosso
(Ayo,
Lizer)
Nimesadiki
ya
wahenga
Penzi
lina
raha
yake
Mzigo
kwa
tenga
Kimfaacho
mtu
chake
Denge
nimekatwa
ngenga
Ah,
umate
mate
najinyenga
nyenga
Mao
mao,
mao
Tate
Huwaga
sioni
Ninavyoipanda
milima
Ulimi
sikioni
Mwili
wote
wanizizima
Mwenzenu
sioni
Macho
mawili
yote
sina
Tunaanza
jikoni
Mpaka
varandani
twalindima,
yalah
Yalah
yalah
Yalah
yalah
(ooh)
Yalah
yalah
Yalah,
yalah
Penzi
limenizidia
(yalah
yalah)
Ni
kubwa
(yalah
yalah)
Nzito
(yalah
yalah,
yalah,
yalah)
Tungezaliwa
zamani
Ningesema
penzi
togwa
Tulinywe
kibarazani
Tukitafuna
maboga
Nimekipanda
uani
Kibustani
cha
uyoga
Tukishiba
biryani
Baby,
tule
mboga
mboga
Sasa
polisi
wa
nini?
Nikikosa
nikamate
wewe
Mahakama
ya
nini?
Nikikosa
nihukumu
wewe
Penzi
chupa
la
balindi
Tuligide
baby
hadi
tulewe
Vindege
shorwe
vya
nini?
Kifaranga
unibebe
weh
mwewe
Huwaga
sioni
Ninavyoipanda
milima
Ulimi
sikioni
Mwili
wote
wanizizima
Mwenzenu
sioni
Macho
mawili
yote
sina
Tunaanza
jikoni
Mpaka
varandani
twalindima,
yalah
Yalah
yalah
(yalah
yalah)
Yalah
yalah
(yalah
yalah)
Yalah
yalah
(yalah
yalah)
Yalah,
yalah
Penzi
limenizidia
(yalah
yalah)
Ni
kubwa
(yalah
yalah)
Nzito
(yalah
yalah,
yalah,
yalah)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.