Rorexxie feat. 20 Percent - Ningekusamehe paroles de chanson

paroles de chanson Ningekusamehe - Rorexxie



(Yeah! 20 Percent, Man Water)
(Okay, Inno b, Witney)
(Odana, onah, nah, nah)
Uliponitosa mie, mi ni'bembeleza ukakatata na sikuwa na mie
Minahisi kisa sina chapa
Sasa sijapata hata nikipata nitazidi kutafuta
Naomba ondoka mwenye mapenzi ya kweli, asije akakukuta
Ningekusamehe, ila ila wewe una hila
Ningekuwa na we ila ila, unapenda sana hela eeh!
(Nani aliotaka kunitoa roho penzi likafika mwisho?)
(Mimi yakale achana nayo niko chini ya miguu yako)
(Kwani nani aliotaka kunitoa roho penzi likafika mwisho?)
(Mimi yakale achana nayo niko chini ya miguu yako)
(Mmhh-mmm-mmh, Mmhh-mmm-mmh)
Basi sikia mpenzi, mbona wanipa kazi
Bila wewe siwezi, n'tajawa na simanzii
Mwenyewe wajua, jinsi gani nimekufiaaa
Basi nakuimbia usiweze kunikimbia aah
Unajua sina ujanja wakuachana na we
Kuniacha njiapanda nitapaki wewe
Uyo mtimuwe, mi hunirudie eeh
Usiniache nilie, we, we ni wangu mie eh
(Mmhh-mmm-mmh, Eh-eh-eeh-eeeh)
Ningekusaheme ila tayari mi'nimeisha mpata mwengine
Ulitaka uniuwe itaitajisi nikupa nafasi nyingine, eh!
(Nani aliotaka kunitoa roho penzi likafika mwisho?)
(Mimi yakale achananayo niko chini ya miguu yako)
(Kwani nani aliotaka kunitoa roho penzi likafika mwisho?)
(Mimi yakale achananayo niko chini ya miguu yako)
Ni machungu kiasi gani
Uliponiacha gizani mi' ulitaka nifanye nini
Kama sikusaka kampani, nilitada nikasaka
Na hatimae nikapata, nashangaa wanifuata eti; "tusahau yaliopita"
Ningekusamehe ila (ila) ila, sio kimapenzi
Ningekuwa na we ila (ila) ila, nimeishapata mupenzi
Sina habari sitaki kuwa na we tena
Huna nafasi ndo hivyo nishakutema
Nakupa fact unielewe kiundani, sina mapenzi kwako yalikuwepo tu zamani
Nenda tu uniache wala usijali
Nimepata mwengine anaenipa mapenzi ya kweli
Ulivyonitenda mi'nasema iliniuma, we nenda tu mi' sikutaki tena
Sina habari mommy sikuitaji tena
Mtoto mzuri nipo nae mwenye heshima
La'ana shida zote atavumilia, na atanipa mapenzi ndivyo alivyo nambia
Andika stori ya kwamba ulikuwa na mi
(Andika stori ya kwamba ulikuwa na mi)
Kifo chapanzi nifuraha kwa kunguru
Sikutaki tena mommy we niache huru!
(Nani aliotaka kunitoa roho penzi likafika mwisho?)
(Kwani nani aliotaka kunitoa roho penzi lika fika mwisho?)



Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie feat. 20 Percent - Brokėn
Album Brokėn
date de sortie
26-10-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.