paroles de chanson Binti Kimanzi - Rorexxie
Oooh
mtoto
tulia
(wewe)
Sisi
tumemchagua
(wewe)
Umetaka
utamuoa
(wewe)
Hukutaka
utamuoa
Sawa
nitamuoa
yeye
Ila
sinta
dumu
na
yeye
Wazazi
muelewe,
mie
ninae
nimpandae
Mbele
ya
macho
yenu
(Uuh)
Niliugua
mwanenu
(Ouh)
Yeye
akatoa
damu
(uyu)
Kwangu
ni
mtu
muhimu
huyo
Kwenye
shida
niko
nae
(yeye)
Kwenye
raha
niko
na
yeye
(ye)
Yeye
ndie
nimpendae
sitaraji
mwingine
we
Natoka
Dar
naenda
Kimanzi
(mchana)
Kuwa
taarifu
wazazi
Mimi
n'nampenzi
wangu
mtu
tesi
(kimwana)
Ndoa
yetu
mwisho
wa
mwezi
Nilijuta
kufika
(kwao)
Nikajuta
yalo
nikuta
(kwao)
Wangu
wakamkataa
(kwao)
Nakunionyesha
picha
ya
wabo
hao
Oooh
mtoto
tulia
(wewe)
Sisi
tumemchagua
(wewe)
Umetaka
utamuoa
(wewe)
Hukutaka
utamuoa
Sawa
nitamuoa
yeye
Ila
sinta
dumu
na
yeye
Wazazi
muelewe,
mie
ninae
nimpandae
Mi
nakupenda
mpenzi
ila
naogopa
radhi
(Oooh
yee)
Tatizo
lao
wazazi
(wewe)
Wamekimbilia
radhi
Nivumilie
mpenzi
(wewe)
Ni
waridhishe
wazazi
(Mimi)
Nitampa
talaka
mwenzi
(wewe)
Arudi
kwao
kimanzi
Kulala
silali
nae
(yeye)
Mimi
chini
juu
yeye
Chochote
si-shei
nae
Nina
mnyanyapaa
yeye
Chakula
chake
nakataa
Asije
nipa
limbwata
Kwa
wazazi
swadakta
Ndani
ya
ndoa
fujo
kila
kukicha
ya
deile
Oooh
mtoto
tulia
(wewe)
Sisi
tumemchagua
(wewe)
Umetaka
utamuoa
(wewe)
Hukutaka
utamuoa
Sawa
nitamuoa
yeye
Ila
sinta
dumu
na
yeye
Wazazi
muelewe,
mie
ninae
nimpandae
20
Percent
from
fam
boys
True
story
Yeah,
Bushoke
baiby
Oooh
mtoto
tulia
(wewe)
Sisi
tumemchagua
(wewe)
Umetaka
utamuoa
(wewe)
Hukutaka
utamuoa
Sawa
nitamuoa
yeye
Ila
sinta
dumu
na
yeye
Wazazi
muelewe,
mie
ninae
nimpandae

1 Ningekusamehe
2 Bangi Bangi
3 Yanini Malumbano
4 Sitoi
5 Binti Kimanzi
6 Tamaa mbaya
7 Money money
8 Wajane
9 Sauti yangu
10 Kalamba mwiko
11 Naficha
12 Nyumba ya milele
13 Nimerudi Salama
14 Jieleze
15 Mali za Urithi
16 Bangi
17 Maisha Ya Bongo
18 Nilitegemea
19 Huyo Bwana Si Mfano
20 Mama Neema
21 Watu Pori
22 Subira
23 Mbele Yako Nyuma Yangu
24 Nia Yao
25 Chura
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.