Rorexxie feat. 20 Percent - Nimerudi Salama paroles de chanson

paroles de chanson Nimerudi Salama - Rorexxie



(Nilikwenda salama, ninarudi salama)
(Vibaya usinifikirie, kama kuna mabaya nisamehe mie)
(Nilikwenda salama, ninarudi salama)
(Vibaya usinifikirie, kama kuna mabaya nisamehe mie)
Niliweka mboleya, nikamwagilia shamba
Ikanyeshe nvua, ikanisadia kumwagilia shamba
Niliacha maua yanachanua nikatimua
Narejea natabiria matunda nitajaza gunia
Nilimtuma Batili vinepi nepi avilete
Na visenti kidogo nikasema uvipokee
Yalemateso wakati nikombali acha yapite eh
Leo narudi safari, tafadhali unipokee
(Nilikwenda salama, ninarudi salama)
(Vibaya usinifikirie, kama kuna mabaya nisamehe mie)
(Nilikwenda salama, ninarudi salama)
(Vibaya usinifikirie, kama kuna mabaya nisamehe mie)
Nilikutana na wengi, kwenye kusaka shilingi
Kwenye ridhiki fitina nyingi hapakosi vigingi
Kweli siku nyingi sana, tokaniodoke hujaniona
Hilo lisifanye ukanuna bila uvumilivu, hutovuna
Mwangu baba yangu au huyo mama yangu
Yeye ndo wakuvila vyangu tena bila machungu
Naskia mwangu tumefanana sura, furaha iliyojaa na sham-bra sham-bra
Namshukuru mungu kukupa subira, japokuwa walikusumbua wauza sura
(Hii na be Combination)
(Hii na be Combination)
(Hii na be Combination)
(Hii na be Combination)
Wasisi wako uko nitokakokuenda, nimempata mwenzako
Nakuhapia we ukopekeako, mi sihitaji murupo, yanini mirupo
Popote ipo nimeiacha uko, leo narudikwako
Usifikirie vibaya, nikifanya mabya nafsi inaona haya
(Nilikwenda salama, ninarudi salama)
(Vibaya usinifikirie, kama kuna mabaya nisamehe mie)
(Nilikwenda salama, ninarudi salama)
(Vibaya usinifikirie, kama kuna mabaya nisamehe mie)



Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie feat. 20 Percent - Brokėn
Album Brokėn
date de sortie
26-10-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.