paroles de chanson Sitoi - Rorexxie
Sura
mpya
miguu
ya
zamani
One
love,
one
blood,
one
happy
Combination
Sound,
Man
Water
man
maji
Meddy
Ulipotoka
mbali,
ngoja
nikupe
stori
Mama
yako
jasiri
Japo
babu
yako
mkali
vyote
alikubali,
akaitwa
"jeuri"
Alitaabika
akasulubika,
alijipa
huakika
atapumzika
Alitaabika
akasulubika,
alijipa
huakika
atapumzika
Kama
malaika,
alivyo
umbika
Hakuwai
badirika
mpaka
aliposhika
mimba
(Nilisema
hatoe,
hatoe,
kama
hatoi
asinijue)
(Akawaza
hatoe,
hatoe,
mtoto
amuhuwe)
(Akasema
"sitoi,
sitoi,
liwalo
na
liwe)
("Atakuja
kuwa
nani,
sijui
kwaiyo
sitoi,
liwalo
na
liwe")
Wakati
umekua
kua
nilikuja
na
rafiki
zangu
Kuwatambulisha
kuwa,
wewe
ni
mwanangu
Umefanana
pua,
midomo
na
macho
yangu
Mama
yako
aliniumbua
kwa
dhambi
zangu
You
are
the
liarrr
Huoni
hayaaaa!!
Nyinyi
wanaume
wabayaaa!!
Wewe
si'
wa
kusema
haya,
kweli
nilidanganya
(Nilisema
hatoe,hatoe,
kama
hatoi
asinijue)
(Akawaza
hatoe,
hatoe)
Hatoe
(mtoto
amuhuwe)
hatoe
mtoto
amuhuwe
(Akasema
"sitoi,
sitoi,
liwalo
na
liwe)
liwalo
na
liwee
("Atakuja
kuwa
nani,
sijui
kwaiyo
sitoi,
liwalo
na
liwe")
Wakati
mama
yako
bado
yuko
Skonga
Kwa
umbo
tabia
zake
nilijigonga
Penzi
la
dhati
wala
si
kwa
kuonga,
alipota
mimba
hapo
ndipo
majanga
Alitaabika
akasulubika,
alijipa
huakika
atapumzika
Alitaabika
alisulubika,
alijipa
huakika
atapumzika
Ulipotoka
mbali
nimekupa
stori
Mama
yako
jasiri
(mama
yako
jasiri
sana)
Japo
babu
yako
mkali,
vyote
alikubali
akaitwa
"jeuri"
(Nilisema
hatoe,hatoe,
kama
hatoi
asinijue)
kama
hatoi
asinijuee!
(Akawaza
hatoe,
hatoe
mtoto
amuhuwe)
yule
mtoto
amuhuwe
(Akasema
"sitoi,
sitoi,
liwalo
na
liwe")
Ooh
na
liwee
("Atakuja
kuwa
nani,
sijui
kwaiyo
sitoi,
liwalo
na
liwe")

1 Ningekusamehe
2 Bangi Bangi
3 Yanini Malumbano
4 Sitoi
5 Binti Kimanzi
6 Tamaa mbaya
7 Money money
8 Wajane
9 Sauti yangu
10 Kalamba mwiko
11 Naficha
12 Nyumba ya milele
13 Nimerudi Salama
14 Jieleze
15 Mali za Urithi
16 Bangi
17 Maisha Ya Bongo
18 Nilitegemea
19 Huyo Bwana Si Mfano
20 Mama Neema
21 Watu Pori
22 Subira
23 Mbele Yako Nyuma Yangu
24 Nia Yao
25 Chura
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.