paroles de chanson Sauti yangu - Rorexxie
Wasani
nauliza
ni
kipi
msichokijua
Macho
kuvimba
midomo
mnavyo
biniua
Really
mc.
sio
kuimba
kuchana
kubana
pua
Get
jealous
haters
mwisho
unatusua
Mungu
anakupa
kile
alichopanga,
tumia
unavyoweza
ukitaka
kudanga
danga
Mjanja
kajenge
bidanda
jifanye
mwamba
chuma
kula
ngada
End
of
day
mwisho
wasiku
umekuja
kutaga,
makofi
tafafhali
Eh
bwana
guda
we
kesha
tukutane
kwenye
market
Muda
sio
fedha
eti
uifadhi
kwenye
wallet
Mbona
siwaoni
mliotangulia
mliosema
nyinyi
the
dONNi
watazania
Wale
wahenga
tupakule
usicheke
na
kima
Muziki
sio
wachemenengule
ni
wima-wima
Wale
waukumbi
ni
kukesha
kutaja
majina
Anaenipenda
kisa
pesa
mawambie
sina
(sina)
Sasa
umekaa
now
tell
wakinje
kikile
ngwale
Ulijifanya
kuku
mungu
amekufanya
kware
(Sauti
hii...,
sauti,
sauti
hii...,
sauti,
Sauti
yangu)
sauti
ya
gharama
(Sauti
yangu)
inafundisha
na
kuonya
(Sauti
yangu)
sauti
ya
gharama
(Sauti
yangu)
inafundisha
na
kuonya
(Sauti
hii...,
sauti,
sauti
hii...,
sauti,
Sauti
yangu)
Sauti
ya
mwimu,
sauti
ya
jami-mi
(Sauti
yangu)
inakukimbiza
kuzim'
sauti
ya
nabii-hi
(Sauti
yangu)
sauti
inasikika
mbali
sauti
sahi-hi
(Sauti
yangu)
sauti
inakisu
kikali,
sauti
ni
hii
Pass
mpira,
maskini
jealous
Mazingira
nafsi
jealous
nafsi
killer
na
mauti
nakujanazigira
na
sauti
Mi'nakufahamisha
kuna
kunakusanda
Show
love,
peace
love,
kwenye
kitanda
Kuja
ukishafika
u'can
go
one
go,
vujajasho
ni
bando
bando
Wote
tunapita
one
door
one
door,
shuka
kisha
kupanda
why
no
why
no?
Wanauwana
jirani
zetu
wanaulizana
Wezi
wengi
ni
vijana
mbona
wale
wanaimba
sana
Kuna
wale
washiriki
na
wafanya
makafara
Wasitunfunge
ridhiki,
wazikuze
viashara
za
kwao
(Sauti
hii...,
sauti,
sauti
hii...,
sauti,
Sauti
yangu)
sauti
ya
gharama
(Sauti
hii...,
sauti,
sauti
yangu)
inafundisha
na
kuonya
(Sauti
yangu)
sauti
ya
gharama
(Sauti
yangu)
inafundisha
na
kuonya
(Sauti
hii...,
sauti,
sauti
hii...,
sauti,
Sauti
yangu)
(Sauti
yangu,
Sauti
yangu,
Sauti
yangu)
1 Naficha
2 Nyumba ya milele
3 Sauti yangu
4 Wajane
5 Nimerudi Salama
6 Mali za Urithi
7 Ningekusamehe
8 Money money
9 Jieleze
10 Kalamba mwiko
11 Chura
12 Bangi Bangi
13 Binti Kimanzi
14 Tamaa mbaya
15 Yanini Malumbano
16 Sitoi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.