paroles de chanson Huyo Bwana Si Mfano - Rorexxie
Kushilendi
shasha
man
(Man
Water)
Rude
Bwoy
shut
up
ya
band,
20
Pah...
asilimare
One
Happy
One
blood!
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano,
si
mwema,
si
mwema,
wakaanza
kulalama)
(Si
mwema,
si
mwema
amebadilika
sana)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano,
si
mwema,
si
mwema,
wakaanza
kulalama)
(Si
mwema,
si
mwema
amebadilika
sana)
Yamebaki
malalamiko,
toka
nyumbani
kwa
ndugu
zako
Walitumwa
wadogo
zako,
wakarudi
na
masikitiko
Yamebaki
malalamiko,
toka
nyumbani
kwa
ndugu
zako
Walitumwa
wadogo
zako,
wakarudi
na
masikitiko
Si
mwema,
si
mwema,
(Oohh)
wakaanza
kulalama
Si
mwema,
si
mwema
(Ooh)
amebadilika
sana
Yule
aliyekuzaa
ndie
aliyewazaa
(ndie
aliyewazaa)
Na
walichofuata
toka
kwako
si
fedha
Idadi
ya
watoto
kama
wakiulizwa,
na
wewe
umo
hawawezi
punguza
Ila,
ulipofika
Dar-,
umewasahau
na
kuwatelekeza
Umewatelekeza
bila
kutekeleza,
hiyo
safari
yako
kufika
hautoweza
Pilika
pilika
zako
toka
we
ufike
town
Zimekupachika
jina
lako,
'Limbukeni'
Hulitaki
tena
jina
lako
lazamani
la
kijijini,
tunakuita
'Limbunkeni'
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano,
si
mwema,
si
mwema,
wakaanza
kulalama)
(Si
mwema,
si
mwema
amebadilika
sana)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano,
si
mwema,
si
mwema,
wakaanza
kulalama)
(Si
mwema,
si
mwema
amebadilika
sana)
Tumekwenda
juzi
na
tumerudi
leo
(tumerudi
leo)
Nyumbani
kwake
ni
kufuli
na
komeo
(ni
kufuli
na
komeo)
Tume
lala
kwenye
banda
lile
la
video
(banda
lile
la
video)
Ndio
tunarudi
leo
Mi
natabiri
mwisho
wake
mbaya
Japo
imuombei
mabaya
kwenye
maisha
haya
Anatuacha
ndugu,
anathamini
malaya
Kama
hajapata
radhi,
basi
hata
miwaya
aah-ah
Si
mfano.,
Huyo
bwana
si
mfano
Si
mfano.,
Huyo
bwana
si
mfano
Tumezika
ndugu,
ndugu
hujatokea,
tuna
kulilia
kwa
uchungu
umepotea
Pua
na
Masiko
vyote
umetoboa,
mtanzania
mzungu
umejichubua
Si
mfano.,
Huyo
bwana
si
mfano
Si
mfano.,
Huyo
bwana
si
mfano
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano,
si
mwema,
si
mwema,
wakaanza
kulalama)
(Si
mwema,
si
mwema
amebadilika
sana)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano)
(Huyo
bwana
si
mfano,
si
mwema,
si
mwema,
wakaanza
kulalama)
(Si
mwema,
si
mwema
amebadilika
sana)
1 Ningekusamehe
2 Bangi Bangi
3 Yanini Malumbano
4 Sitoi
5 Binti Kimanzi
6 Tamaa mbaya
7 Money money
8 Wajane
9 Sauti yangu
10 Kalamba mwiko
11 Naficha
12 Nyumba ya milele
13 Nimerudi Salama
14 Jieleze
15 Mali za Urithi
16 Bangi
17 Maisha Ya Bongo
18 Nilitegemea
19 Huyo Bwana Si Mfano
20 Mama Neema
21 Watu Pori
22 Subira
23 Mbele Yako Nyuma Yangu
24 Nia Yao
25 Chura
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.