Rorexxie - Mbele Yako Nyuma Yangu paroles de chanson

paroles de chanson Mbele Yako Nyuma Yangu - Rorexxie



(Yeah)
(MJ Records, sio, Afande Sele Asilimia na Babu Tale)
(Usizime baba angalia!)
(Mbele yako) Mbele yako
(Nyuma yangu uuh) Nyuma yangu mie
(Usinichukie, ndugu yangu uuh) Usinichukie, we ndugu yangu Uuh
(Mbele yako) Mbele yako
(Nyuma yangu uuh) Nyuma yangu mie
(Usinichukie, ndugu yangu uuh) Usinichukie, ndugu yangu Uuh
Yeah, yeah yeah, yeah
Mbele yako, nyuma yangu twende
Kamanda wangu usiogope tupo na Mungu pekee (mwenye ulimwengu)
Yeyote aliyeko hai simuhofii zaidi ya Jah, anaye nidai pumzi hii
Nipo kama zamani, nampindua shetani najiamini
Najua nifanye nini, 'napokuwa majaribuni, naomba dua (naomba dua)
Nasali nakufunga, wachawi nawatambua, nawahumbua (nawahumbua)
Kwa maombi nawatenga hata kabla hawajaniua natimua (yeeah)
Naenda kwa ndugu zangu wanaonipenda
Nawapenda kama wanavyo mpenda mungu
Mana nampenda mungu,
Kuliko mwangu 'Tunda' (kuliko mwangu, 'Tunda')
Kuliko mama Tunda,
Japo ni mwenzi wangu miaka rudi miaka nenda (miaka nenda)
Simtaji makisudi kwa vile anaweza kwenda
Tena anaweza kwenda wakati bado nampenda, akaniacha peke yangu
Ama inawezekana akaniacha mi' na mwanangu (mi' na mwanangu)
Si' unaelewa binadam', ndo wenye ufaham' walisema; "mapenzi sumu"
Japo yapo yenye utamu kama ya Eva na Adam
Lakini matokeo yake
Ndo ivo yametuhukum wandamu (yanatuhukumu wanadamu)
(Mbele yako) yeah
(Nyuma yangu uuh) Mbele yangu mie
(Usinichukie, ndugu yangu uuh) Ndugu yangu we
(Mbele yako) Mbele yako
(Nyuma yangu uuh) Nyuma yangu mie he, he
(Usinichukie, ndugu yangu uuh)
Eeh, Mungu, Mungu wangu
Muone huyu mbona anachuki kwangu
Chako hakiwezi kuja kwangu (Never ever)
Mbele yako nyumba yangu Uuu (Milele na milele)
Ukiangalia mbaya yangu Uuu (machache saaana)
Lazima utaona na mazuri yangu Uuh (kibao kibao hayaesabiki)
Ila kuongea inakuwa ngumu uh (wachache wakisema ukweli)
Mungu uuuh, sifa kwangu uh-uh
Sielewi kisa nini, unaleta chuki na mimi
Tukikutana njiani (eti?) unakunja kisirani
Ulisha zipanga ngumi (barabarani) kutaka pigana na mimi (haiwezekani)
Nikasema sipigani, (Ever!) usela wakizamani
(Amri saba) Unichukie, waomba mungu wako anifungie
Ridhiki yangu isinifikie au umeambiwa mwanga wako mie?
Ikivuma sana ngoma hupasuka (Booom)
Subiri mwisho wangu utafika (Chuki)
Chuki fitina utasumbukaaaa, yeeah
(Mbele yako) Mbele yako
(Nyuma yangu uuh)
(Usinichukie, ndugu yangu uuh) Usinichukie
(Mbele yako) Mbele yako
(Nyuma yangu uuh) Nyuma yangu mie
(Usinichukie, ndugu yangu uuh)
Aaah!
Kama zamani Twenty na Suleyman
Wanaogena nakuongea si' bado tunaendelea
Kujizolea
Heshima, sifa kibao, ukpima mimi na wao utanielewa 'nachosema
Kwamba hata Tembo akikonda, hawezi kuwa kama Ndama, Ah
Kazi ndo kwanza naanza, kutokomeza alafu na kukonyeza
Wanatongoza kila mkoa na madem'
Usiku mnene pombe nyingi, vipi! Unakumbuka kondom' ("Ooh!!!")
Okay kijana mdogo usiseme usiwe na nadem'
Lakini usimpe kisogo, sheria ya mama ya hili gem'
Ukicha ndum', mnauwezo wakundika rap kwenda jim'
kimtindo kuonyesha ugumu
Bado una mambo mengi yakujifunza kwenye gem'
Ili udumu, unaitaji kuwa na nidham, yakudum sio ya kuchuga
'Taji- utijihukumu, niamini baba 'ake Tunda
Natenda wema nakwenda
Singoje asante yake punda, ndo mana bado napanda
Nasitarajii kustafu, kwani mziki sio Kandanda (Sio kandanda)
Watu bado wanapenda, mchana, usiku wananiuliza
"kazi mpya lini kamanda?" ("kazi mpya lini kamanda?")
(Mbele yako) Oh-ah
(Nyuma yangu uuh) Nyuma yangu mie eh, eah
(Usinichukie, ndugu yangu uuh) Ndugu yangu
(Mbele yako) Oh-ah
(Nyuma yangu uuh) Nyuma yangu mimi
(Usinichukie, ndugu yangu uuh) Usinichikie, ndugu yangu uuh
Mbele yako, nyuma yangu chio, au vipi
Imeshakuwa ya pili
Toka kwa suleimani wa pili (Selemani Msindi, Afande Sele)
Aliotunga 'Darubini Kali'
A.K.A Simba Zee Kubwa Anameno Makali
Mkali wamashairi, mwenye jina la fanana na la mwana yule mtunga Zaburi
Wapili kwa akili, japo sio tajiri, muziki Bongo (Tanzania) Shubiri
Sio asali kama we unavo fikiri
Hata mkuu wa serikali, analielewa jambo hili
Na amesema tusijali lazima atatupa dili, ndo ivyo tunasubiri au vipi?
Mbele yako nyumba yangu sio
Salute sana, pamoja sana sambamba
King suleimani the secret (Selemani Msindi, Afande Sele)



Writer(s): Abbas Hamis, Issai Ibungu


Rorexxie - Bongo Records
Album Bongo Records
date de sortie
20-12-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.