paroles de chanson Maisha Ya Bongo - Rorexxie
(Yeah,
20
Percent
from
fam
boys)
(Kufunga
Ramadan,
hatuna
wakati
maalum)
(Cheki
maisha
ya
bongo
jinsi
yanavyotuendesha,
man)
(Ona
maisha
ya
bongo
yanavyo
tisha,
afadhali
ya
jana
kila
kukicha)
(Hatuna
hata
muda
wakumpuzika,
kama
vikatuni
mbele
ya
walioridhika)
(Muone
kijana
wa
bongo
anavyovaa)
(Cheki
pozi
zake
jinsi
anavyokaa)
(Amechoka,
kachoka,
kachakaa,
jitume
huenda
ukafarijika)
(Ona
maisha
ya
bongo
yanavyo
tisha,
afadhali
ya
jana
kila
kukicha)
(Hatuna
hata
muda
wakumpuzika,
kama
vikatuni
mbele
ya
walioridhika)
(Muone
kijana
wa
bongo
anavyovaa)
(Cheki
pozi
zake
jinsi
anavyokaa)
(Amechoka,
kachoka,
kachakaa,
jitume
huenda
ukafarijika)
Tunateseka
wote
tunasurubika,
hatujawahi
kupata
raha
kabisa
Tumetoka
home
kwa
kutoroka,
tumewaacha
wazazi
wakilimishwa
Tukaandika
ujumbe
wala
ipo
siku,
(ipo
siku)
Maisha
yetu
yatajapata
nafuu
(nafuu)
Tunakokwenda
hatupajui
katu,
twaomba
baraka
za
wazazi
watukufu
Tunakokwenda
anaelewa
jarali,
kama
tukifa
watajapata
habari
Kuishi
mbali
nao
si
hatujali,
lengo
letu
kuishi
maisha
ya
kifahari
Machafuko
kila
kukicha
balaa
(balaa)
Watu
kuchoka
mbaya
kutafuta
hela
(hela)
Huyu
kachomwa
moto,
huyu
kaenda
jela
(jela)
Ooh
noo.,
ukirudia
fa-fire!
(Ona
maisha
ya
bongo
yanavyo
tisha,
afadhali
ya
jana
kila
kukicha)
(Hatuna
hata
muda
wakumpuzika,
kama
vikatuni
mbele
ya
walioridhika)
(Muone
kijana
wa
bongo
anavyovaa)
(Cheki
pozi
zake
jinsi
anavyokaa)
(Amechoka,
kachoka,
kachakaa,
jitume
huenda
ukafarijika
(Ona
maisha
ya
bongo
yanavyo
tisha,
afadhali
ya
jana
kila
kukicha)
(Hatuna
hata
muda
wakumpuzika,
kama
vikatuni
mbele
ya
walioridhika)
(Muone
kijana
wa
bongo
anavyovaa)
(Cheki
pozi
zake
jinsi
anavyokaa)
(Amechoka,
kachoka,
kachakaa,
jitume
huenda
ukafarijika
Wenye
tamaa
wengi
tumeshawazika
Wakikwaguwa
wanachomwa
wanawaka
Unamwibia
mwenzako
naye
kachoka
Elewa
fika
shingo
itagawanyika,
mi
Sikufichi
Ndani
ya
hii
nchi
kunawatu
hawana
kitu,
hadi
wanatembea
uchi
Nguo
zimechanika
chakaa,
zinaviraka
Wengine
tuko
fichi
japo
hatuuzi
mkaa
Tunavuja
jasho,
maisha
bado
michosho
Mithili
ya
vikinda
vya
kuku,
kuamini
nyonyokesho
Tunasifika
'amani,
upendo,
na
mshikamano'
Sio
kwamba
hatugombani,
kimtindo
nasisi
tumo
Hali
si
shwari,
kamari
inachezwa
bila
daftari
Kama
unaakili
kaambali,
jihadhari
muda
wa
hatari
Omari
huoni
hatari
ajali
kisa
asali?
Hali
haiko
shwari,
yabidikukaa
mbali
(Ona
maisha
ya
bongo
yanavyo
tisha,
afadhali
ya
jana
kila
kukicha)
(Hatuna
hata
muda
wakumpuzika,
kama
vikatuni
mbele
ya
walioridhika)
(Muone
kijana
wa
bongo
anavyovaa)
(Cheki
pozi
zake
jinsi
anavyokaa)
(Amechoka,
kachoka,
kachakaa,
jitume
huenda
ukafarijika
(Ona
maisha
ya
bongo
yanavyo
tisha,
afadhali
ya
jana
kila
kukicha)
(Hatuna
hata
muda
wakumpuzika,
kama
vikatuni
mbele
ya
walioridhika)
(Muone
kijana
wa
bongo
anavyovaa)
(Cheki
pozi
zake
jinsi
anavyokaa)
(Amechoka,
kachoka,
kachakaa,
jitume
huenda
ukafarijika)
1 Ningekusamehe
2 Bangi Bangi
3 Yanini Malumbano
4 Sitoi
5 Binti Kimanzi
6 Tamaa mbaya
7 Money money
8 Wajane
9 Sauti yangu
10 Kalamba mwiko
11 Naficha
12 Nyumba ya milele
13 Nimerudi Salama
14 Jieleze
15 Mali za Urithi
16 Bangi
17 Maisha Ya Bongo
18 Nilitegemea
19 Huyo Bwana Si Mfano
20 Mama Neema
21 Watu Pori
22 Subira
23 Mbele Yako Nyuma Yangu
24 Nia Yao
25 Chura
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.