paroles de chanson Naficha - Rorexxie
20
Pah
Mtazamo
wa
mbali
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
naogopa
isije
ikawa
noma)
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
naogopa
isije
ikawa
noma)
Kuna
familia
nyingine
kuwa
uolewe
Miaka
tisa
tayari
ana
mumewe
Roho
inaniuma
lakini
bora
niuchune
Naficha
wazazi
wasinikane
Nyinyi
ndie
wakumpa
kampani
Apate
maisha
mema
hapa
duniani
Miaka
tisa
leo
yuko
mbilini
Hiyo
elimu
huyo
kapata
lini?
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
naogopa
isije
ikawa
noma)
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
naogopa
isije
ikiwa
noma)
Niko
kama
jiko,
napika
madikodiko
Ila
kwenye
meseji
na
wala
kiti
hakipo
Bora
mara
*kumi
niwe
meza
au
wiko
Ndio
mana
ukinipamba
sibweteki
na
maujiko
Niko
kama
jiko
napika
madikodiko
Ila
kwenye
meseji
na
wala
kiti
hakipo
Bora
mara
*kumi
niwe
meza
au
wiko
Ndo
mana
ukinipamba
sibweteki
na
maujiko
Buyeka
Selekta
(Man
Simba)
20
Per,
Umefrahi?
Mzee
mdomo
unaponza
kichwa
Sindano
ndogo
inayoshona
makoti!
(Naficha
na-na-na-naficha)
naficha
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
eyeaah
(Naficha
na-na-na-naficha)
naficha
(Naficha,
naogopa
isije
ikawa
noma)
Naficha
naopoga
isije
ikiwa
noma
(Naficha
na-na-na-naficha)
naficha
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
(Naficha
na-na-na-naficha)
(Naficha,
naogopa
isije
ikawa
noma)
eyaah,
eyaah
Kuna
Dj,
anasema
hapokei
rushwa
ng'o!
Yani
kule
kwake
tupeleke
single
Tukipeleka
nyimbo
ndo
songombingo
Haichezwi
nyimbo,
mpaka
apate
bingo
Nimejipiga
nimekutana
na
producer
Baada
ya
kibanda
chetu
cha
urithi
kukiuza
Kutengeneza
wimbo
pesa
nimemaliza,
naye
bila
hela
hataki
kuicheza
Mulichobugi
mulimzoesha
hela
Mukasahau
kwamba
wengi
mafukara
Mziki
pesa
mbele
hivi
sasa
kwake
ndio
sera
Aliotuchana
mdomo
ndo
hatatupa
kura
Neno
'muziki'
kwake
familia
bora
Mwanamuziki
ni
yule
asioijua
njaa
Kwa
wenye
fedha
zitaongea
hela,
la
wenye
vipaji
wengi
mafukara
(Naficha
na-na-na-naficha)
eyaah
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
(Naficha
na-na-na-naficha)
naficha
na-na-na-naficha
(Naficha,
naogopa
isije
ikawa
noma)
naficha
naopoga
isije
ikiwa
noma
(Naficha
na-na-na-naficha)
naficha
na-na-na-naficha
(Naficha,
haya
ninayoyaona)
(Naficha
na-na-na-naficha)
naficha
na-na-na-naficha
(Naficha
naogopa
isije
ikawa
noma)
noma
yeah
20
Per,
asilimia
chache
ulimwenguni
Asilimia
20
sindano
ndogo
sana
Back
Yard
Record
1 Naficha
2 Nyumba ya milele
3 Sauti yangu
4 Wajane
5 Nimerudi Salama
6 Mali za Urithi
7 Ningekusamehe
8 Money money
9 Jieleze
10 Kalamba mwiko
11 Chura
12 Bangi Bangi
13 Binti Kimanzi
14 Tamaa mbaya
15 Yanini Malumbano
16 Sitoi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.