Rorexxie - Kalamba mwiko paroles de chanson

paroles de chanson Kalamba mwiko - Rorexxie

(Babilem Down)
The man speaking is still working, (yebo)
-maire, 'bishi (Pamoja Records)
Mi'natanga nanjia, nikijua wanangu wanakula wana shiba
Unawasimangia hata hicho ninacho tafuta kwa shida
N'natanga nanjia, nikijua wanangu wanakula wana shiba
Unawasimangia hata hicho ninacho tafuta kwa shida
(Mama wa masimango ooh) kweli mama
(Mama wa masimango ooh) mama
(Mama wa masimango ooh) mama, kweli mama
(Mama wa masimango ooh)
Nikonaye toka aache maziwa
Kunyonya ndipo nilipo achiwa
Sijakimbiwa bali huyu alifiwa na mama yake ni mfiwa
Siku ya kwanza tulikutana kinondoni
Ulikuwa na wakwako mgongoni
Ukasema alio kuzalisha humuoni-ih
Maji yamekufika shingoni
Tukasema tuko sambamba, tukishindwa hata unipende shamba
Kaa nyuma yangu tuvute kamba
Mbona anaambulia kulamba lamba
(Kalamba mwiko) mmmh mh mh
(Mtoto kalamba mwiko) hmmm mh mh
(Mtoto kalamba mwiko) hmmm mh mh
(Mtoto kalamba mwiko)
Mi'natanga nanjia, nikijua wanangu wanakula wana shiba
Unawasimangia hata hicho ninacho tafuta kwa shida
N'natanga nanjia, nikijua wanangu wanakula wana shiba
Unawasimangia hata hicho ninacho tafuta kwa shida
(Mama wa masimango ooh) kweli mama
(Mama wa masimango ooh) mama
(Mama wa masimango ooh) mama, kweli mama
(Mama wa masimango ooh)
Mtu akipenda, uwaga anapenda kweli
Ukimpiga kalenda akili inaweza kufeli
Nilivyo kuona nikaona nimepona
Kumbe wewe ni noma, ni kama moto unao ni choma
Yule wa kwanza alinipendaga sana
Kinacho niumiza ameondoka mapema
Kaniacha na mwanangu kwenye matattizo yangu
Nikazani utakuwa wangu, nikama niko peke yangu
(Kalamba mwiko) Kalamba mwiko, mmmh mh mh
(Mtoto kalamba mwiko) Mtoto kalamba mwiko, hmmm mh mh
(mtoto Kalamba mwiko) Kalamba mwiko, mmmh mh mh
(Mtoto kalamba mwiko) Mtoto kalamba mwiko, hmmm mh mh

Rorexxie - Brokėn
Album Brokėn
date de sortie
26-10-2023

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.