Harmonize feat. Q Chilla - Nionyeshe Lyrics

Lyrics Nionyeshe - Harmonize feat. Q Chilla



Oooh mapenzi
Oooohoo mapenzi
Meri ishaweka nanga
Usiwape tabu waganga
Eti unilogee ya kazi gani?
Zinga kipande cha kanga uje tulicheze vanga
Kisha nioge unikande mabegani
I wish uone moyo wangu ulivyojawa makovu uenda utanionea huruma
Nahic we ndo dawa yangu umeshushwa mwokovu nisikumbuke ya nyuma
Mwenzako nishapitia mikasa drama kila wakati shahidi yangu mwenyezi
MmmH
Hadi nikahisi na nyota ya kasa
Hama sina bahati aah katika mapenzi
Basi nioneshe, nionyeshe unavyo nipenda mwaya, nioneshe
Unavyo nipenda mwayaa, nioneshe
Mmmh
Unavyonipenda mwayaaa, nioneshe
Walionitenda mpaka waone hayaa
Mmh
Jichunge na page za udaku yasemwayo ni ya uongoo, akina mangi kimambi
Ogopa na manyaku nyaku, mahodari wa uongo wasije kuweka kambi
Nikipata tule wote nikikosa utangoja ndicho tulale
Wasikutishe chochote wasio isha vioja vichwa kambare
Nikianguka niokotee tusimame pamoja sare sare,
Hadi tuzikwe sote utoke ndonya mkongoja makonde chale
I wish uone moyo wangu ulivyojawa makovu uenda utanionea huruma
Nahisi we ndo dawa yangu umekuja mwokovu nisikumbuke ya nyuma
Basi nioneshe,nioneshe unavyonipenda mwayaa, (basi nioneshe)nioneshe
Unavyonipenda mwaya(nioneshe)
Unavyonipenda mwaya, nioneshe
Walionitenda mpaka waone haya




Harmonize feat. Q Chilla - Kwa Ngwaru
Album Kwa Ngwaru
date of release
27-11-2019



Attention! Feel free to leave feedback.