Lyrics Matatizo - Harmonize
Haiyee
aaah!
Olelelelee
Alfajiri
imefika
Anga
inang′aa
Mvua
inaanza
katika
Ghafla
tumbo
la
njaa
Naweka
sauti
kwa
spika
Nipate
umbea
wa
dar
Mara
simu
inaita
Jina
la
anko
Twaha
Akisema,
mama
yu
hoi
kitandani
Kama
si
wa
leo
wa
kesho
Na
kupona
sizani
Upate
japo
neno
la
mwisho
Mi
ndo
mtoto
wa
pekee
Nyumbani
wananitegemea
Mdogo
wangu
wa
kike
Hali
duni
alishagaolewa
Tizama
jasho
langu
la
mnyonge
Kipato
hakikidhi
mahitaji
Napiga
moyo
konde
Yarabi
mola
ndo
mpaji
Matatizo,
matatizo
Yatakeisha
lini
Matatizo
Kila
siku
mimi
Ewe
mola
Matatizo
yatakwisha
lini
Japo
likizo
Nifurahi
na
mimi
Mola
aliniumba
na
subira
Imani
pekee
ngao
yangu
Mbona
nishasali
sana
Ila
mambo
bado
tafarani
Mama
kanifunza
kikabila
Nikonde
sana
haini
yangu
Tena
nijitume
sana
Na
vya
watu
nisivitamani
Hata
mpenzi
niliyenae
Najua
siku
atanikimbia
Itanitesa
ye
ndo
nguzo
Zile
ngoja
kesho
badae
Atazichoka
kuzivumilia
Anakosa
hata
matunzo
Ona,
nadaiwa
kodi
nilipopanga
Nashinda
road
nikihanda
Nishapiga
hodi
kwa
waganga
Kwa
kuhisi
narogwa
Nikauza
maji
na
karanga
Nikawa
dobi
kwa
viwanda
Ila
kote
ziro
ni
majanga
Mtindo
mmoja
Mi
ndo
mtoto
wa
pekee
Nyumbani
wananitegemea
Mdogo
wangu
wa
kike
Hali
duni
alishagaolewa
Tizama
jasho
langu
la
mnyonge
Kipato
hakikidhi
mahitaji
Napiga
moyo
konde
Yarabi
mola
ndo
mpaji
Matatizo,
matatizo
Yatakeisha
lini
(ewe
mola)
Matatizo
Kila
siku
mimi
(jamani
matatizo)
Matatizo,
(oh
matatizo)
Yatakeisha
lini
Japo
likizo
Nifurahi
na
mimi
(iih
matati...)
Matatizo
(matati...)
Yatakeisha
lini
Matatizo
Kila
siku
mimi
(jama
matatizo)
Matatizo,
matatizo
Yatakeisha
lini
(ye
iye)
Japo
likizo
Nifurahi
na
mimi

1 Kwa Ngwaru
2 Bwege
3 Niteke
4 Atarudi
5 Bado
6 Magufuli
7 Matatizo
8 Never Give Up
9 Mbali
10 Niambie
11 Show me
12 Shulala
13 Paranawe
14 Show Me What You Got
15 Aiyola
16 Nionyeshe
17 Sasambu
18 Sina
19 Nishachoka
20 Ndoenda
21 Acha Nilewe
22 Kidonda Changu
23 Dm Chick
24 Bed Room (Remix)
25 Penzi
26 Don't Go
27 Happy Birthday
28 Hainistui
29 Kushoto Kulia
30 Uno
31 Beyond Boredom (Day)
32 Inuka Ucheze
33 Roho
34 Ahadi
35 Balaa Jipya
36 Hujanikomoa
37 Imani
38 Kiuno
39 Nishapona
40 Pain
41 Tasafu
42 Bachelor
43 Nadeke
44 Bed Room
45 Nakadandia
46 Pepea
47 Komando
48 Body
49 Gelegele
50 Manoti
51 Ndoto
52 Mama
53 Mpaka Kesho
54 Malaika
55 Zabwa
56 I Miss You
57 Good
58 Fall in Love
59 Rumba
60 Wife
61 Die
62 Pipe Industries
Attention! Feel free to leave feedback.