Harmonize - Nakadandia Lyrics

Lyrics Nakadandia - Harmonize




Kisima tui tanga
Ukizungushia kanga inapanda
Juu chini shanga you my number one
Ni upendo wangu nipo mahabani
Nimepata sizi yangu
Filimbi nitapuliza kuita ndege waje





Attention! Feel free to leave feedback.