Harmonize - Balaa Jipya Lyrics

Lyrics Balaa Jipya - Harmonize




Penzi nalimumuya kibogoyo
Filimbi nitapuliza kuita ndege waje
Tuko kwa bibi paje
Tulivuruge varanga
Kisha tugonge na venta
Oooh baby number
Penzi nilikilimumunya kama kibogoyo
Penzi limetaradali





Attention! Feel free to leave feedback.