Harmonize - Tasafu Lyrics

Lyrics Tasafu - Harmonize




Raha zimefululiza kwako natokaje
Nikiandae kitanda na mashuka ya maroon
Usisingizie makosa a hayo
Macho yalikuona moyo ukakuchagua
Mdomo ukasema nakupenda
M nizawadi nilopewa





Attention! Feel free to leave feedback.