Harmonize - I Miss You Lyrics

Lyrics I Miss You - Harmonize



Yao yao
Yeyeh ye yeeeeh
Only you on my mind
Nahisi mwengine hakuna kwenye hii dunia
I don't know what to do never mind
Hata salam unauchunaa, vimessage nikikutumiaa
Ingawa silijui kosa ila fanya unisamehee
Umeni adhibu vya kutoshaa japo imani nioneee
Oh babyy
Nikalala naotaaa
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasitaaa ipo siku ntaitikaaa
Ooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasitaa ipo siku ntaitika my baby
I miss you
Ukiona mtu mzima ma analia ujue kuna jambo
I miss you
Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwez Kwenda ng'ambo
Nili sacrifice my love for you
Uuu uuuuuuu
Leo unaniona sifai na matusi juuu
Uuu uuuuuuu
Natamani urudi mama ila siwez kukuforce force
Punguza makusudi drama hizo mbwembwe na Vipost post
Kutwa nashinda insta
Nazitazama zako picha
Usiombe bando likisha
Me mpweke ila yote tisaa
Ooooooh
Nikilala naota, naota kama unanita
Ila nasfi inasitaaa
Ipo siku ntaitikaa
Oooh nikilala naotaaa
Naota kama unaniita ila nafsi inasita ipo siku Ntaitika my baby
I miss you
Ukiona mtu mzima analia ma ujue kuna jambo
Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwezi kwenda nga'mbo
I miss you
Nikilala naota naota kama unanitaa ila
Nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitikaaa



Writer(s): Rajabu Abdukahal Ibrahim


Harmonize - Afro East
Album Afro East
date of release
14-03-2020




Attention! Feel free to leave feedback.