Fid Q - Big текст песни

Текст песни Big - Fid Q



Big, big, big, big
Big, big, big bam
Big, big, big, big
Big, big, big bam
Everything I do, I do it big
Sio kwa enegy tu, muitambue na speed
Ni kwakudra za mkuu tu, ujue fid
Usiwe na muda kwa mguu juu ni kuwa bize
Ninachowaza ni kutusua sio, sio tu usanii
Mwanza kazi kwanza inanihusu hii ndio ase
Zaidi ya ninja makomfuu mishaulin
Master master nawapa ma-woshu mabao nane
Kaza mkanda mpaka tundu la mwisho
Mungu anajicho
Ndugu wana majungu vitisho
Haumuamini fid, unahisi hii ni joke
Go find the bridge, I take the long walk
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Big, big, big, big
Big, big, big bam
Big, big, big, big
Big, big, big bam
Watie unyonge iwakonge kwa nafsi zao
Wabonge na wao
Wajigonge iliukombe hadi tonge zao
Ugonge mabao usonge, usikinde kwa tonge lao
Waache wa chonge wao (ikibidi walonge wabonge kikwao)
Usijitai ikiwa tete haujazishika
Mifano hai ndio pekee inayosifika
Hauwezi kuita respect me bila uhakika
Watu hawawezi kuamua kuwa hate hate lazma uweunatisha
Mzigo wakichwa kwapa jasho lanini
Ukitaka ule hivi figo ficha kabla hujawapa madini ya rapa ka-mimi
Sitotapa tapa hapa mjini, niko hapa kwanini
Niliapa kuwa nikiwapa nitawini haa
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Big, big, big, big
Big, big, big bam
Big, big, big, big
Big, big, big bam
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao
Na watafuta watu kibao



Авторы: Fareed Kubanda


Fid Q - Kitaaolojia
Альбом Kitaaolojia
дата релиза
13-08-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.