Fid Q feat. Taz - Hello Darling текст песни

Текст песни Hello Darling - Fid Q , Taz



Ulaa!ulaa!
I call you baby cause you make me feel so nice and so i don't think.
Can I call you baby my sugar plam cute pie sweetness hear me say.
Gotta say hello, hello, hello darling.
You truly missed here let me say.
Hello, hello, hello darling.
Your love is everything I know.
Uuuuuuhhhhhh...
Hello (uuhhh)
Hello (uuuhhh)
Hello,hello(hello).(uuuhhh)
Sijui ni mkosi au love ndo inakuwa hivi
Ulionitosa nione kavu tushakuwa as if
Wa ushoto wa ubavu wangu, my love au laaziz
Wa ndoto zangu unanitema tena bila jinsi
Pay pass, ume-play pass usikatae please
Na hii ndo payback ya kupenda bila side chicks
Niliacha playback, way back, stay back suspicious this
Nikapata flavour sio fedha, flavour ile priceless
Nikawa fresh kama breezy kwenye sound
Mapenzi yana uchizi wa ku freeze wewe hauna
Ulikuwa unanizuga tu kama mluga mluga fool
Moyo unadunda sugar sio sugar we nunda boo
Mapenzi mapya nilipata nikadata kweli
Sielewi kwanini uliniacha, unanikacha unataka kufail
Na sina habari sioni hatari we ukiringa
Lakini macho yangu hayapo tayari uki party na mjinga.
I call you baby cause you make me feel so nice and so i don't think.
Can I call you baby my sugar plam cute pie sweetness hear me say.
Gotta say hello, hello, hello darling.
You truly missed here let me say.
Hello, hello, hello darling.
Your love is everything I know.
Uuuuuuhhhhhh...
(Hey! yeeah)mpenzi wangu umenimaliza weee
Darling wang
Hello (uuhh)
Hello (uuhh)
Hello,hello (hello). (uuuhhh)
Sorry kwa hii namba ambayo hauijui najua
Nimekuwa mpole kama mshamba sitaki uadui ukakua
Unavyonimwaga na nimetua nanga hujui naugua
Manyanga nishamwaga mjanja sikuuwi kwa dua
Kukosea njia ndio kuijua
Na haijapotea nia japo walichochea kuiuwa
Umeniotea najua, sikia najitextia nimekua
Sikuzote anayejisifia ni yule iliomnyeshea mvua
Ewe tabibu nakuomba uje uniweke sawa
Unakijua kinachonisibu na mgonjwa haulizwi dawa
Acha kiburi mlakaya niwe nawe darling
Cheza na zuri hili baya likae mbali
Simjui jina, yule ampendaye havumi
Simuoni adui ananipima sitambai ngumi
Nastahiki heshima kwa kuwa alivyo asinune
Nakaa kimya cause mbwa abwekae haumi
I call you baby cause you make me feel so nice and so i don't think.
Can I call you baby my sugar plam cute pie sweetness hear me say.
Gotta say hello, hello, hello darling.
You truly missed here let me say.
Hello, hello, hello darling.
Your love is everything I know.
Hello, hello, hello darling.
You truly missed here let me say.
Hello, hello, hello darling.
Your love is everything I know.
You be my darling cause you all that i need for life
(You be my darling cause you all that i need for life)



Авторы: Fareed Kubanda


Fid Q feat. Taz - Kitaaolojia
Альбом Kitaaolojia
дата релиза
13-08-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.