Текст песни Kiberiti - Saida Karoli , Fid Q
(Lu-Lu-Lufa)
Haueleweki
hata
uki-shine
kwa
punchlines
on
Facebook
Haiwi-fine
ka'
Rayvan,
we'
fake
tu
Sikuoni
B.E.T
au
MTV
wak-play
tunes
Miaka
nenda
we'
msanii,
MC
una
play
tu
Makida,
we'
sio
king
kama
Kiba
Sio
yao
ming
kwenye
ring
Mistari
mingi
zaidi
ya
zebra?
(Zaidi
ya
zebra!)
Unazingua
nigga,
haujajijua
nigga
Umeanguka
pua,
bishoo
hauwezi
kuwa
Jigga
Rent
mwezi
ujao
na
haujalipa
school
fees
Ya
mwanao,
unaumiza
kichwa
ewe
Q-Fid
'Til
now
hauioni
future,
we'
stupid
Haujapiga
bao
na
kutwa
unawaza
groupies?
Pengine
ni
nuksi
umejiletea
au
chuki
umejijengea
Haukumbuki
ulipotokea
bro
(bro)
Wabaya
mauzushi,
wanayachochea
haushtuki
ushapotea
Wakushi
wanakutetea
bro
Unakosea
bro,
ni
kweli
hauna
spear
bro
Ku-play
fair,
ikuwachezea
ikatokea
droo
Sikutegemea
bro,
hatuwezi
hataku'onea
bro
Tushajionea
ulivyo
mlevi,
ukaikosea
show
Kiberiti,
ninakuona
unavyoniwashia
moto
mie
(aye)
Kiberiti,
ninakuona
unavyoniwashia
moto
mie
(aye)
Ayi,
ma-mama,
kiberiti
Ayi,
ma-mama
Nikiwa
alone
in
my
room,
sometimes
I
stare
at
the
door
And
in
the
back
of
my
mind,
naziita
hisia
hebu
njoo
Zinaingia
zinaniambia
hii
dunia
ni
soo
Haiko
sweet
kama
dove,
I
see,
I
need
love
Tazizo
lako
hautaki
kuuza
maneno
Legeza
ka'
wenzako
acha
kutukuza
misemo
(kutukuza
misemo)
Sheria
ni
yako
ila
isiuache
msumeno
Ukijikuna
tako,
usikate
kucha
kwa
meno
Ongea
usikike
au
kaa
kimya
usidharaulike
Au
utupishe
na
jina
lisahaulike
Tulazimike
kuzima
ili
itulipe
Gwajima
tumuite
aje
kukupima
heshima
ya
Bashite
Nje
ya
town,
show
huwa
zina
cloud
ya
kiwaki
Kaza
crown
ibaki,
ukikaza
sana
hawataki
Tunajua
una
uwezo
wa
juu
na
kismati
Na
haujawahi
kupigwa
bu!
Basi
unajiona
Tupac
Kabla
ya
rotten
brothers
ulikua
na
chepe
Two
nature
boys
ndiko
ulikoanza
makeke
Mwaka
huu,
mwaka
we
mwaka
Ikakuweka
juu
ikawa
Q
hakuna
asiyemtaka,
well
Lini
uta-retire
urudi
kuuza
mtumba
lango?
Una
roho
mbaya,
hadi
leo
haujamkumbuka
Rado
We'
sio
kichwa,
we'
unaweza
fichwa
Ikichorwa
hip
hop,
siioni
sura
yako
picha
Kiberiti,
ninakuona
unavyoniwashia
moto
mie
(aye)
Kiberiti,
ninakuona
unavyoniwashia
moto
mie
(aye)
Ayi,
ma-mama,
kiberiti
Ayi,
ma-mama
Fid
Q
nikuulize,
hivi
siri
yako
nini
kuishi
kwenye
game
muda
mrefu,
eh?
Kwanza
unajua,
mi'
huwa
sichukulii
vitu
personal
Ukiniponda
sichukulii
personal,
ukinisifia
sichukulii
personal
Ni'chojifunza
ni
kwamba
usichukulie
kila
kitu
personal
Na
zaidi,
ufunze
ubongo
wako
kung'amua
jema
kwenye
situation
yoyote
ile
Na
hivi
ndio
vitu
ambavyo
Don
Miguel
kwenye
kitabu
chake
cha
The
Four
Agreements
ameviongelea
Kwa
mfano,
nikikutana
na
wewe
sokoni
au
kokote
na
nikakuambia,
"Wewe
ni
mjinga"
Wakati
hata
sikujui,
na
siku
hiyo
hiyo
ndio
mara
ya
kwanza
tumeonana
Anaekua
amevurunda
hapo
sio
wewe
ni
mimi
So
kwa
wewe
kuchukulia
personal
na
ku-react
Ni
sawa
kuwa
umekubaliana
kihisia
na
jina
hilo
la
mjinga
Na
huenda
ukanifanya
nijione
mimi
ni
muoteaji
mzuri
Kuchukuria
kitu
personal
ni
kukubaliana
moja
kwa
moja
na
kilichosemwa
Na
kama
kweli
umekubaliana
inamaana
kimekuingia
Na
kinapokuingia
husambaza
sumu
ambayo
huziua
zile
fikra
chanya
Ulizokuwa
nazo
na
kufanya
usichukue
maamuzi
sahihi
Kila
mtu
anafanyanya
vitu
kwa
ajili
yake
na
kwa
faida
anazozijua
yeye
mwenyewe
Ni
mara
chache
sana
wewe
kuzing'amua
hizo
faida
binafsi
za
watu
Wengine
utaona
ni
kwa
ajili
ya
attention
Wengine
ni
kwa
sababu
inawaingizia
kipato
Wengine
iyo
kitu
huwaacha
tu
na
furaha
ya
moyo
Na
vitu
kadhaa
wa
kadha
Kila
mtu
ana
ndoto
zake
na
pia
hupendelea
kufanya
vile
akili
yake
inamtuma
Na
pengine
dunia
tunayoishi
sisi
sio
dunia
wanayoishi
wao
Hivyo
tunavyochukulia
vitu
personal
ni
sawa
na
kuwa-
Kuwaaminisha
ya
kwamba
tupo
kama
wanavyotufikikiria
Na
tunaota
kuwa
na
utulivu
kama
walionao
wakati
sio
kweli
Na
hata
tusi
liwe
la
nguoni
kiasi
gani
Ni
vyema
ukajua
na
kuamini
ya
kwamba
halikuhusu
Kumbuka
limjaalo
mtu
ndilo
limtokalo
Wengine
wameathiliwa
na
malezi
waliopitia
pamoja
na
makuzi
kwa
ujumla
So,
hata
mtu
akiniambia
we,
yani
Kwa
mfano
mtu
akikwambia,
"We
Saida
ni
mshamba
kuliko
wasanii
wote
Tz"
Ni
vyema
ukamsamehe
tu!
He!
Lakini
kumbuka
kumsamehe
mtu
inamaana
alikukwaza
Uka-mind
ndio
maana
ili
usimfugie
chuki
na
hasira
Ndio
maana
inabidi
umsamehe
Na
kumkasirikia
inamaana
uliruhusu
ile
sumu
ikuingie
Kwa
hiyo
kwenye
hili
mtu
akikwambia,
"Wewe
ni
mshamba
kuliko
wasanii
wote"
Tunashauriwa
kumuacha
kama
alivyo
tu
Kwa
sababu
hizo
ni
hisia,
imani
na
maoni
yake
yeye
binafsi
Na
dawa
pekee
ya
kuituliza
iyo
sumu
Ni
kuwapotezea
tu
ili
waendelee
kupambana
na
hali
zao
Watu
wengi
huwa
wanashindwa
kumjaji
mtu
kama
alivyo
Kutokana
na
vitu
alivyonavyo
Cha
ajabu
mentality
hii
imetupelekea
sisi
kuacha
au
kusahau
kabisa
Kuchukulia
vitu
kama
vilivyo
na
kuanza
kuvichukulia
kama
tulivyo
Kiberiti,
ninakuona
unavyoniwashia
moto
mie
(aye)
Kiberiti,
ninakuona
unavyoniwashia
moto
mie
(aye)
Ayi,
ma-mama,
kiberiti
Ayi-yi,
ma-mama
Ninashangaa
Kumbe
wanadamu
ndivyo
walivyo
Kumbe
wanadamu
ndivyo
walivyo
Ayi,
ma-mama
Ayi-yi,
ma-mama
Ninashangaa
Kumbe
wanadamu
ndivyo
walivyo
Kumbe
wanadamu
ndivyo
walivyo
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.