Текст песни Masta ( Intro) - Fid Q
Wimbo
wa
kwanza
kabisa
kuusikia,
ulikuwa
ni
huyu
na
yule
Hazungumzii
mapenzi,
Bali
anazungumzia
jamii
kwa
ujumla
Sio
mtu
ambaye
kwamba
analenga
tu
soko
kama
watu
wengine
Vitu
kama
pesa
na
vitu
kama
hivyo
Ni
mtu
ambaye
anafanya
kile
ambacho,
jamii
inataka
kukipata
Unaweza
lala
na
bundi
na
ukaamka
mwenye
bahati
Usilale
fofofo,
Ruzuku
yako
itakwisha
Utatembea
hovyo,
Ka
kuku
alokatwa
kichwa
Hakuzaliwa
kuwa
kamili
lakini
alizaliwa
kuwa
real
Anajali
zaidi
kile
ambacho
watu
wanatakiwa
kupata
kutoka
kwake
Kile
ambacho
Mungu
amembariki
basi
na
yeye
Amekifanya
kuwa
baraka
kwa
watu
wengine
Kwa
ufupi,
Fid
Q
ni
Masta
Usiniite
mtata
nikiwa
na
njaa
ya
pesa,
story
na
mkora
Kamwe
sitokata
tamaa,
Forever
i'll
live
so
all
out
Hustler,
Kila
kona
nasaka
goli,
Footballer
Jina
ni
masta
au
degosholo
ukinicheki
tu
kora
Sio
kinyonge
homie,
Rasta
kama
Johny
dandora
Tumsake
tonge
ila
Namfuata
pombe
hauoni
ving'ora?
Mwanza
Mwanza
to
the
world,
Na
hamgomi
nikichora
Flow
zinafanya
hadi
Joh
awaambie
sinoni
mie
bora
Kutupiana
vijineno
na
kuanza
braza
hii
sio
diss
Ni
vile
tunaokotea
na
meno
ya
weep
it
kisha
other
stiff
Usiruhusu
wakatujaza
si
tuwape
ladha
tu
sweet
Majungu
hayazuiliki
lakini
wino
wa
Mungu
haufutiki
Sio
tu
akeshaye,
hata
alalaye
humpa
riziki
Palipo
mzoga
hawakosi
taa
waliomuwahi
fisi
Kuthamini
walichonacho,
Wataanza
kitapo
potea
Na
wanacho
Miss
hawakijui,
mpaka
kitapotokea
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.