Fid Q feat. Chin Bees - Maselabration текст песни

Текст песни Maselabration - Fid Q , Chin Bees



Usiwe mbinafsi ka jogoo,
Kuamini kuwa jua uchomoza ili yeye tu awike,
Kila nafsi yenye roho,
Inaeza kuwa kama ilivyo ota, ili mradi tu isisite
Kufika mbali ni lazima ujipange mwanzoni
Ukitaka kuiba kengele weka pamba masikioni
Tunakichanga deile kutamba hatukomi
Mwenye mkwanja ukiwa nyuma ake anaisi utamkaba hauoni
Tutete sisi vicheche freeze hatari taabu
Mcheke chizi kama umefunga kizazi babu
Mtete fid mapepe mdiss na hupati clap
Kete please usimteke chid hauhitaji A-Rap
Mama Aminaaaa (amina, minaa)
Yamejaa haiwezi pima mechi hubuma hapo hapo
Hakuna huruma hapa ita chuma kichaa
Ukileta vyuma natafuna na ninatuna hadi kwapa
Nakujua sikujui hainifanyi nikuamini
Unazingua huzingui unautani na mimi
Nishaanua hivo sifui unaelaani unanini?
Paka nishatua nichukue ya halali yangu madini
Maselabration to ooh yeah
Yani masela wote wanasebenza ooh yeah
Maselabration
Yani masela wote wanacelebrate ooh yeah
Eeh maselabration
Nyonga washa tuvute
Wacha viwake sasa mpaka kukuche
Nyonga washa tuvute
Wacha viwake sasa mpaka kukuche
Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba
Wacha viwake sasa mpaka kuche
Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba
Wacha viwake sasa mpaka kukuche
Uswahilini wananitambua kama juju
Nikitua wafitini wanacheua gubu
Umasikini hatuuzimii hatuuhusudu
Hautulii kama ulimi kwenye jino lenye mdudu
Ukiwa masikini ni ngumu sana kuwa gentleman
Hauwezi kumfungulia mpenzi mlango wa daladala
Unapigwa chini ukitaka demu bwana nyetoman
Yasiyo na pangwa yanakua mengi,mapenzi ni ufala
Kuuzunguka mbuyu sio dawa ya shetani
Kutojua kutojifunza ni sawa kiundani
Kujuza kujikuza ni lazima udanganye
Mshachuja mnakuja mpunguze hatulingani
Nakujua sikujui hainifanyi nikuamini
Unazingua hauzingui unautani na mimi
Nishaanua hivo sifui unaelaani unanini?
Paka nishatua nichukue ya halali yangu
Maselabration ooh yaeh
Yani masela wote wanasebenza ooh yeah
Maselabration
Yani masela wote wanacelebrate ooh yeah
Eeh maselabration
Nyonga washa tuvute
Wacha viwake sasa mpaka kukuche
Nyonga washa tuvute
Wacha viwake sasa mpaka kukuche
Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba
Wacha viwake sasa mpaka kukuche
Nanyonga kama key nawasha kama dudu vuta pumzi kama longomba
Wacha viwake sasa mpaka kukuche
Wacha viwake sasa mpaka kuche
Wacha viwake sasa mpaka kuche



Авторы: Fareed Kubanda


Fid Q feat. Chin Bees - Kitaaolojia
Альбом Kitaaolojia
дата релиза
13-08-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.