Fid Q feat. Gifted - Mzee Mbuzi текст песни

Текст песни Mzee Mbuzi - Fid Q , Gifted



Mzee Mbuzi wewee!
Hii game ni yako
Hizo ndiyo kauli za mitaani
Haufiki sehemu bila ku-Hustle
Hivyo walinishauri nipambane
Naulinisakanye
Maisha ni safari nijihami
Ball so hard maths
Huna nafahamu
Yes, kipindi ya mchonga
Niliishi fresh kabla ya ruksa
Mshua hakuwa na stress
Aliwaza cash usiku kucha
Ghafla akawa haonekani nyumbani
Shida zikatupa fursa
Ikawa msafi anazamani
Basi mchafu naye ana future
I remember
Enzi zile uso wa mbuzi ndiyo unapendwa
Silipi nauli kwa mikwara
Na uki-move nakutenda
Kwenye daladala
Konda fala asije nitenda
Mi ni staff ka nyapara
Huko bara nisha-surrender
Nilichotaka nifike studio
Ni-record muweze nipata
Kama busta au kuriyoo
Sikuwa na pozi za kirapa
Nilikuwa gangsta sijui yooo
Nikawa conscious mtu wa culture
Rasta ambaye haangui ng'oo
Niliyoanza nao
Ni kama hawataki huu mchezo
Eti unahitaji zaidi ya bahati
Yaani kismati na uwezo
Haufuati vigezo
Unapoamua
Huchuja hadi wanaojua
Nakuchuja wanaozingua
Ukiuchunguza utagundua
Mzee mbuzi weee! (Wee! Wee!)
Wewe, wewe (Wewe Wewee)
Mzee mbuzi weewe (uuh uuh)
Wewe wewe wewe (wewee)
Ni wazi haikuwa rahisi
But you made it
Mzee mbuzi wewee eeh
Wewe wewe, wewe wewee
Ukishajua nini unataka
Nini chahitajika ili ukipate
Kamilisha mahitaji kisha kifuate
Sikuwa humble mbele ya mjeuri
Pale mnafiki akizingua
Kivuli cha unyasi
Hakimzuii mtu jua
Mi na-hustle ile ki heavy weight
Skendo haziwezi mnyea Fid
So fragile and delicate
Handle with care, care
Bado sijafeli eti
Mjengo unaniteta street
(Kama Makaveli nikifanya kweli zinaenea hit)
Kinachowaponza watoto wa mjini
Ni tamaa na mikumbo
Macho huonja kabla ya ulimi
Na wana njaa zaidi ya tumbo
Kataa kuwa kaa
Kataa kukaa kaa
Bila chapaa
Kitaa hautong'aa papa
Ninavyotembea ni kama hero
Wa kuitwa Che Guevara
Navyozisaka hata nikipata zero
Inakuwa sio ya duara
Hai-make sense
Kama haileti dollar
Mwache waiter a-keep change
Kama waitress fala
Yote haya yalikua ni utoto juu ujana
Yalianza na maamuzi ya utoto kuukana
Yakafuata makamuzi ikawa moto juu sana
Tukawaacha wenye makuzi bila soko wakitukana
Wana hate 'cause
Siwezi afford kufanya mistake
Wanacho otea hawa matozi, Of course
Kinaonekana cliché
Muda niliusoma kwa jua
Kabla ya Jaco kuyajua
Saa hii kila ngoma wanaipakua
Inaipa macho Medulla
Mzee mbuzi weee (Wee! Wee!)
Wewe Wewe (wewe wewee)
Mzee mbuzi weewe eeh
Wewe wewe, wewe wewee
Ni wazi haikuwa rahisi
But you made it (haikuwa rahisi)
Mzee mbuzi wewe (mzee mbuzi wewe)
Wewe wewe, wewe wewee



Авторы: Fareed Kubanda


Fid Q feat. Gifted - Kitaaolojia
Альбом Kitaaolojia
дата релиза
13-08-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.