Текст песни
Wanasemaga
mapenzi
safari,
unavyopita
ndo
jinsi
unajongea
Ila
niendako
ni
mbali
sijui
ka
ntafika
sababu
natembea
Niliposikiaga
habari,
yakisifika
nikakesha
nangojea
Akabariki
Jalali
na
nikawika
muziki
nikauotea
Ile
pruuu
mpaka
Macca
nikadandiaga
Bongo
movie
Kumbe
mapenzi
hayataki
haraka,
ni
kama
tango
natia
tu
chumvi
Mwenzenu
nikaoza
haswa,
na
kujitia
kitandani
mjuzi
Eti
nataka
fukuza
paka,
badala
ya
mbwa
nikafuga
mbuzi
Hhhmmm
Wivu
ukanifanya
nikagombana
na
marafiki
Ugomvi
na
mamangu
akiniambia
siambiliki
Moyo
ukanambia
Nasibu
sasa
mapenzi
basi
Ila
nang'ang'ania
najaribu
kuipinga
nafsi
Esma
ananiambia
mdogo
wangu
mapenzi
basi
Ila
nang'ang'ania
Nikiumizwa
na
huyu
kesho
nna
mwingine
Ooh
mbona
sikomi
Sikomiii
Sikomi
Licha
ya
mateso
haya
Najiuliza
(oh
sikomiii)
Oh
sikomi
mbona
(sikomiii)
Mbona
jamani
Sikomi
Licha
ya
mateso
haya
Hhhhmmm
Aliyonifanyia
wa
central
Haki
ya
Mungu
siyawezi
sema
Ila
nimejifunza
kesho
nisiwaamini
wacheza
sinema
Moyo
walinipatia
mateso
Siwezi
kumeza
siwezi
tema
Ndio
maana
sikushanga
ile
ghafla
Toka
CCM
kwenda
CHADEMA
Wanasema
kitanda
ukitandika
sharti
ukilalie
Nikajitia
ukamanda
yatakwisha
Wacha
nivumilie
Kila
kiza
kikitanda
Ndo
visa
machozi
me
nilie
Penzi
yakatia
parapanda
Kuwaita
waje
washambulie
Aah
Acha
na
Penny
we
darling
Nilio
muhongaga
gari
aliponambia
ana
mimba
mwisho
wa
siku
akaichomoa
chaliiiii
Mola
akanitunuku
Zari
akanzalia
dume
na
mwali
Niliyvo
mjinga
nikacheat
aibu
mpaka
Kwa
vyombo
vya
habari
Moyo
unanambia
Nasibu
sasa
mapenzi
basi
Ila
nang'ang'ania
najaribu
kuipinga
nafsi
Lizer
ananiambia
Simba
mapenzi
basi
Ila
nang'ang'ania
Nikiumizwa
na
huyu
kesho
nna
mwingine
Ooh
mbona
sikomi
(mboooona)
Sikomiii
(mbona
jamani)
Sikomi
Licha
ya
mateso
haya
Eh
nishafumania
(oh
sikomiii)
Nikafumaniwa
mimi
(sikomi)
Nishagombana
na
watu
(sikomiii)
Licha
ya
mateso
haya
(mateso
haya)
1 Acha Nikae Kimya
2 Baba Lao
3 Baikoko
4 Eneka
5 Fire
6 Hallelujah
7 I Miss You
8 Jeje
9 Kanyaga
10 Kesho
11 Kizaizai
12 Kwanini
13 Lala Salama
14 Mapenzi Basi
15 Mawazo
16 Mdogo Mdogo
17 Moyo Wangu
18 Nataka Kulewa
19 Niache
20 Nikuone
21 Nitarejea
22 Ntampata Wapi
23 Sijaona
24 The One
25 Ukimuona
26 Utanipenda
27 Binadam
28 Far Away
29 Inama
30 Mapenzi Kitu Gani
31 Kidogo
32 Iyena
33 Salome
34 Mbagala
35 Nalia Na Mengi
36 Natamani
37 Nimpende Nani
38 Upofu
39 Kamwambie
40 Chanda Chema
41 Tulia
42 All I Want
43 Gere
44 Sikomi
45 Amanda
46 Kosa Langu
47 Poporopipo
48 Ccm Number One
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.